mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,791
Mdee alipaswa akae nje ya suala hili la Lulu. Zaidi ya yote ataonekana kama anasaka umaarufu wa bure (ambao yeye tayari anao kwa umakini na uwezo wake wa kujenga hoja.)
Kama suala ni kutetea watoto mbona mtoto Rama mla vichwa hakupata support ya namna hii? Ama kwa kuwa Lulu ni maarufu?
Katiba ya Tanzania inasema "Kila mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni yake"
Halima Mdee na Ester Bulaya wametoa maoni yao kama Watanzania na siyo kama Wabunge.
Suala la Rama mla Watu; kama Ulivyosema "Mla watu"
Hivi ulitegemea nani mwenye akili timamu atakayemtetea MCHAWI anayejionyesha hadharani???
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!