Mkuu ni Ukweli Kwamba Lulu hakuwa na Sifa nzuri katika Jamii, ni kweli kwamba Lulu alikuwa na Wapinzania wengi katika Maisha aliyokuwa anayaendeleza ( Namaanisha Kuchuna Mabuzi). Angalia blogs mbali mbali zilivyoripoti tukio la kifo cha Kanumba it is as if walikuwepo wakati wa Tukio na kushuhudia Lulu akimsukuma Kanumba.
Mkuu kuna sura Nyingi sana katika wale wanaomhukumu huyu Binti
1. Kuna wale ambao walikuwa hawapendi Tabia ya Huyu binti kwa Ujumla hawa sasa wanaona huu ndio muda mwafaka wa Binti kufundishwa Tabia njema, kwao suala kwamba Lulu anahitaji Kutetewa Maana. Hawa hawana Wivu na Lulu
2. Kuna Mashostito ambao walikuwa na tabia zinazofanana na Lulu ila Katoko kalikuwa kanawapiga bao Sokoni sasa hawa wivu unawaongoza katika Kujadili sakata la kifo cha Kanumba
Nafikiri Umenipata yeh yeh
Kanumba alikufa kwa brain Concussion, brain concussion inasababishwa na either kugonga kichwa au kupata mshtuko au Kiwewe, kwa nini tunasema sasa kuwa Lulu Kamuua Kanumba? Kwa nini tusiamini kuwa Kanumba alipata mshtuko baada ya kugundua kuwa anamegewa kademu kake? Kwa kutembea na katoto ambako hakajatulia Kanumba was engineering his own Death.