Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

Mkuu ni Ukweli Kwamba Lulu hakuwa na Sifa nzuri katika Jamii, ni kweli kwamba Lulu alikuwa na Wapinzania wengi katika Maisha aliyokuwa anayaendeleza ( Namaanisha Kuchuna Mabuzi). Angalia blogs mbali mbali zilivyoripoti tukio la kifo cha Kanumba it is as if walikuwepo wakati wa Tukio na kushuhudia Lulu akimsukuma Kanumba.

Mkuu kuna sura Nyingi sana katika wale wanaomhukumu huyu Binti

1. Kuna wale ambao walikuwa hawapendi Tabia ya Huyu binti kwa Ujumla hawa sasa wanaona huu ndio muda mwafaka wa Binti kufundishwa Tabia njema, kwao suala kwamba Lulu anahitaji Kutetewa Maana. Hawa hawana Wivu na Lulu

2. Kuna Mashostito ambao walikuwa na tabia zinazofanana na Lulu ila Katoko kalikuwa kanawapiga bao Sokoni sasa hawa wivu unawaongoza katika Kujadili sakata la kifo cha Kanumba

Nafikiri Umenipata yeh yeh

Kanumba alikufa kwa brain Concussion, brain concussion inasababishwa na either kugonga kichwa au kupata mshtuko au Kiwewe, kwa nini tunasema sasa kuwa Lulu Kamuua Kanumba? Kwa nini tusiamini kuwa Kanumba alipata mshtuko baada ya kugundua kuwa anamegewa kademu kake? Kwa kutembea na katoto ambako hakajatulia Kanumba was engineering his own Death.
 
Kosa lake ni kuwa na uhusiano na wewe wa ki.n.g.o.n.o ilhali tunajua kupitia IP Address na MAC Address kwamba wewe ni waziri wa JK, halafu unado mtu under 18, huna watoto weye??
Inakera Mkuu kuona Watu wanamalizia hasira zao kwa Haka Kabinti. Hivi ngoja Nikuulize. Kosa la Haka Kabinti ni Lipi hasa?
 
Inakera Mkuu kuona Watu wanamalizia hasira zao kwa Haka Kabinti. Hivi ngoja Nikuulize. Kosa la Haka Kabinti ni Lipi hasa?

tusiseme ni kosa yet...coz we all don kno wot happened in there...sema kwa bahati mbaya kamejikuta kakiwepo eneo la tukio tena peke yake wakati mungu anatimiza mapenzi yake...
 
Kumbukeni sio mara ya kwanza lulu anafikishwa kituoni, mara zingine fujo zake zinamkumba hata mama yake; hapo ndo mngekemea tabia hiyo, sasa kuna tukio kubwa tena la kisheria, wabunge makini ningetarajia wangeacha sheria ifuate mkondo wake, acheni mambo ya gender gender kwenye suala kubwa kama la kuhusiwa mauaji, hata kama ni kwa bahati mbaya, mahakama itajua.
Ama kweli CCM imewatenda watanzania kwa muda mrefu sana, sasa unazani sheria ni ya upande mmoja tu halafu hapo hapo unasema mahakama itaamua yaani hata bila ya kupewa upande wa pili kimawazo yako inavyo onekana. Sikulaumu wewe bali mfumo uliokuaribu kuielewa haki yako.

Huyo Mdee hanayo haki ya kumtetea yeyote kama proffesional yake ni mwansheria it is very very wrong ku-politicise the issue, and how is this a political debate i dont know. Au kifo cha Kanumba mntaka kukifanya mtaji wa kisiasa at the same time deny yourselves your democractic rights.
 
John 8:4-11 'then they said, 'teacher this woman was caught sleeping with a man who isn't her husband'. The law of Moses teaches that a woman like this should be stoned to death..Finally, Jesus stood up and said 'If any of you have never sinned, then go ahead and through the first stone to her!...The people left one by one, begining with the oldest...Then Jesus told her 'I am not going to accuse you either. You may go now, but don't sin anymore'.
 
Kwa kweli kila mtu ana haki ya kutetewa,akiwemo lulu.TAtizo mdee anavaa viatu vingi kwa wakati mmoja hicho ndo kitamharibia na hakilet picha nzuri. Anasimama kama wakiri,Mwanaharakati na Mwanasiasa katika jambo 1,.Kama yeye ameamua kuwa wakiri akae kimya asubiri siku ya kesi sio kupitapita kwenye vyombo vya habari kuisemea familia ya LULU.Kuna wanawake na watoto wengi tu wamezurumiwa na wanahitaji msaada wa sheria lkn sijaskia akiwasaidia AU ndo siasa zenyewe hizo...MDEE BADO TUNAKUHITAJI BUNGENI!.
 
Mh Mdee ni Mbunge wa Kawe na moja ya kazi yake ni kuwatetea wananchi yake. Pamoja na tabia na mwenendo wa Lulu, bado anayohaki kisheria kuwakilishwa. Lulu aliongopa umri wake, lakini Kanumba alimjua Lulu tangu akiwa Baby maana waliact pamoja. Kanumba alitumia nafasi yake kumwaribu Lulu kwa kiasi kukibwa. Hakuna shaka hata kama atashinda kesi (uwezekano mkubwa), her career is over
 
Kuwa makini haiwezekani wabunge wakatoa kauli ya kijinga kama hiyo eti KUMNASUA na kesi.
Wewe ndio uwe makini,The way unaona Kanumba kwako muhimu kwa usanii wake(unless ulikuwa na personal benefits otherwise) na wao Lulu licha ya kwamba msanii,lakini mwanamke mwenzao pia.Sawa Kanumba kafa,unaujua ugomvi wao ulianzaje,huenda kama asinge kufa yeye labda angekufa Lulu mwenyewe?Na wewe ungekuwa wa kwanza kumponda mwingine kwa mauaji vilevile,tena ungeongezea uzembe kwa sababu haka katoto!!!Anyway,Jana Kamanda Kenyela amesema upelelezi umekamilika ndio maana wamempeleka mahakamani.Sasa ni Vita ya Mawakili na Wanasheria,na kumbukumbu zinasema dhahiri Halima Mdee ni mwanasheria mahiri kabisa,usishangae Lulu anakuwa huru tena bila hatia yoyote kijana,kama huzijui Sheria we Tulia tu sio kuonyesha mahaba yako hapa,sasa ni sheria tu,full stop.Usifikiri wamesema hivyo kwamba watatumia Ubunge wao,nooooooo and Big Noooo,wanamaanisha kwa kufuata Sheria,hata mimi natamani nikakatetee haka katoto!!!
 
Namkumbuka Mwanasheria mmoja Marekani ameifanya Dunia kuamini Wanasheria ni watu hatari sana.Kama nakosea (may be vise versa is true) nisahihishwe.O.J Simpsoni alikamatwa red-handed kaua mtu tena kwa bastola makusudi mazima."Uhuni" [joke] wa wanasheria ndipo ulipoanzia,Jamaa alitetewa na Mwanasheria akaonekana sio kwamba hana hatia ila yeye ndio alitaka kuuawa,na hivyo ndugu wa marehemu kutakiwa kumlipa na fidia.Nyie subirini muone haka kadogo kangangu katavyopolochoka kwenye huu msala,wanasheria sio watu ati!!!
 
Kanumba alikufa kwa brain Concussion, brain concussion inasababishwa na either kugonga kichwa au kupata mshtuko au Kiwewe, kwa nini tunasema sasa kuwa Lulu Kamuua Kanumba? Kwa nini tusiamini kuwa Kanumba alipata mshtuko baada ya kugundua kuwa anamegewa kademu kake? Kwa kutembea na katoto ambako hakajatulia Kanumba was engineering his own Death.

nadhani hili neno umelisikia juzi (brain concussion)..rudi tena ukasome kwa undani juu ya hii kitu..
 
Kanumba kajiua mwenyewe kwa ushamba wake wa mapenzi, he was junior in to-day's love!Lulu tayari yupo chumbani kwake na anajua kabisa Lulu ni kicheche, sasa kiherehere cha nini kwenye simu ya mrembo,angempiga kitu tu akatambaa. Kama maziwa yanapatikana dukani ya nini ujipe shida kufuga ng'ombe
 
KUMBE NIMEPATIA MAZEE.BASI MJUE HAO NDIO WANASHERIA KAMA DADA HALIMA,Lolote linaweza kutokea kwa lulu tazama hii kitu:A Trial Account by Douglas O. Linder Although the 1995 criminal trial of O. J. Simpson for the murders of Nicole Brown Simpson and Ronald Goldman has been called a "a great trash novel come to life," no one can deny the pull it had on the American public. If the early reports of the murder of the wife of the ex--NFL football star (turned-NBC-sports-announcer) hadn't caught people's full attention, Simpson's surreal Bronco ride on the day of his arrest certainly did--ninety-five million television viewers witnessed the slow police chase live. The 133 days of televised courtroom testimony turned countless viewers into Simpson trial junkies. Even foreign leaders such as Margaret Thatcher and Boris Yeltsin eagerly gossiped about the trial. When Yeltsin stepped off his plane to meet President Clinton, the first question he asked was, "Do you think O. J. did it?" When, at 10 A.M. PST on October 3, Judge Ito's clerk read the jury's verdict of "Not Guilty," 91% of all persons viewing television were glued to the unfolding scene in the Los Angeles courtroom
 
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.

- Wabunge nao ni binadam, ingawa pia wana haki ya kujua FACTS ya kilichotokea na kama wameona hakuna FCATS za kutosha kwa binadam mwingine kama wao kushitakiwa ni haki yao kikatiba kumsaidia ashinde kwenye sheria kama walivyosema, now what is wrong with that? Eti ni kufurahia kifo? Pleaasse!

- Wacheni kuchafua majina ya viongozi bila sababu, it is very low!, I mean lets say Lulu ni ndugu yako, kumtafutia lawyer wa kumtoa ndani ni kufurahia kifo cha Steve?

William.
 
lulu anahitaji msaada na ninawapongeza wabunge hao makini kwa kulitambua hivyo kwani mpaka sasa majority wanachukulia lulu ni muuaji, asipopata wa kumtetea itakuwa tabu
 
- Wabunge nao ni binadam, ingawa pia wana haki ya kujua FACTS ya kilichotokea na kama wameona hakuna FCATS za kutosha kwa binadam mwingine kama wao kushitakiwa ni haki yao kikatiba kumsaidia ashinde kwenye sheria kama walivyosema, now what is wrong with that? Eti ni kufurahia kifo? Pleaasse!

- Wacheni kuchafua majina ya viongozi bila sababu, it is very low!, I mean lets say Lulu ni ndugu yako, kumtafutia lawyer wa kumtoa ndani ni kufurahia kifo cha Steve?

William.

Hawa wabunge wasinge take side mapema namna hii watu wakiwa bado wana machungu na ukweli haujathibitika, walitakiwa kuwa neutral. Nawe imagine kama Kanumba angekuwa ndugu yao wangejisikiaje kama wanatokea watu tena Watunga Sheria wakisema wanataka KUMNASUA mtuhumiwa? Hakuna aliyemhukumu Lulu, tuache polisi wakamilishe upelelezi na kesi yake ikianza kusilikilizwa Mahakama Kuu wampelekee huyo mtuhumiwa Wakili.
 
Nilimsikia Mdee akihojiwa na Clouds, lengo sio "kumnasua" ni kumpa msaada wa kisheria kitu ambacho na mimi na support kwa 100%
 
Kanumba kajiua mwenyewe kwa ushamba wake wa mapenzi, he was junior in to-day's love!Lulu tayari yupo chumbani kwake na anajua kabisa Lulu ni kicheche, sasa kiherehere cha nini kwenye simu ya mrembo,angempiga kitu tu akatambaa. Kama maziwa yanapatikana dukani ya nini ujipe shida kufuga ng'ombe

alipaswa kuwa na kifua kipana....yeye angesafisha bunduki yake na kuirudhisha Central store....kwani kulikuwa na strings attached kwenye mahusiono yao? alikuwa na future na hako kademu? yeye angesafisa mtutu wake basi..ona sasa ..only the wise can play the melody of life ..na siku zote mtu hufia anapopapenda
 
Hawa wabunge wasinge take side mapema namna hii watu wakiwa bado wana machungu na ukweli haujathibitika, walitakiwa kuwa neutral. Nawe imagine kama Kanumba angekuwa ndugu yao wangejisikiaje kama wanatokea watu tena Watunga Sheria wakisema wanataka KUMNASUA mtuhumiwa? Hakuna aliyemhukumu Lulu, tuache polisi wakamilishe upelelezi na kesi yake ikianza kusilikilizwa Mahakama Kuu wampelekee huyo mtuhumiwa Wakili.

- Hivi kweli unaamini kwamba Wabunge wanaweza ku-take side bila FACTS, I mean kwa hali ya kwaida haiwezekani mkuu mbunge aakamua tu kwa kukurupuka kwenye ishu sensitive kama hii, lazima wanazo FACTS, labda ungewauliza wana nini lakini kuwahukumu wanafurahia ni over reaching!

William.
 
Back
Top Bottom