JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Ni vyema waondoke ila ninyi wazalendo uchwara msiibe kura wala figisu zozote ili matakwa ya wananchi yatimizwe.Poleni sana chadema wabunge 20 wamewakacha wamebaki wabunge 15. Katika hao 15 kuna tetesi wabunge 10 watatangaza kujivua chadema tarehe 20 /06/2020
Sent using Jamii Forums mobile app