Uchaguzi 2020 Wabunge hawa CHADEMA wamekwisha aga rasmi Bungeni

Uchaguzi 2020 Wabunge hawa CHADEMA wamekwisha aga rasmi Bungeni

Pia:
23. Freeman Mbowe
24. Halima Mdee
25. Godbless Lema
26. Heche
27. Bulaya
28. Matiko
29. ......
30. .......
Hao barua zao zilikataliwa awali na Katibu mkuu Dr Bashiru wakaagizwa waandike upya.
Matiko, Bulaya na Mbowe waliandika upya ila sina hakika kama wameshajibiwa.
 
So sad
Chadema ilifanya kosa moja kubwa ambalo Mbowe atalijutia hadi uzee wake.

Waliacha kuijenga Chadema katika misingi yake wakamchukua Lowasa.

Wengi wa wabunge walioshinda Chadema walitokea Ccm, Kwahiyo kule Chadema walifuata madaraka

Bahati mbaya wakakuta chairman ni dikteta anakula ruzuku peke yake
Vipi Joyce yeye Ana uhakika wa kurudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom