Uchaguzi 2020 Wabunge hawa CHADEMA wamekwisha aga rasmi Bungeni

Poleni sana chadema wabunge 20 wamewakacha wamebaki wabunge 15. Katika hao 15 kuna tetesi wabunge 10 watatangaza kujivua chadema tarehe 20 /06/2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema waondoke ila ninyi wazalendo uchwara msiibe kura wala figisu zozote ili matakwa ya wananchi yatimizwe.
 
kilio sio kwa chadema, bali wanasisiyemu watakaokatwa ili mgombe wa chadema kupitia Ccm awe mbunge.
 
Ni maneno ya lijuakali mbunge wa Chadema, amesema Mbowe ametafuna bilion 8 sio mimi
 
"Haya yanayotoke sasa, watu kuipa uzito hotuba ya Mhe. Mbowe kuliko ya Mhe. Magufuli, isiwakasirishe CCM, bali waone ni wapi wameteleza na wapi Mbowe ameenda mbele zaidi, Spika asituchukie bali akishauri chama chake." Mhe. Owomkyalo
Hatuba ya Mbowe imepewa uzito mkubwa sana worldwide , ndugai kaumia sana !
 
Wananchi watamua wenyewe kwenye sanduku la kura ngoja tuwasubilie mda ufike.

Ila kwa siasa za saivi na misemo ya afe kipa sijui nani apite, Atarudi bungeni Bwashemeji MSIGWA, na wengine wengi ila sio saana
 
Tatizo lilianzia wapi na limelelewa mpaka limefika hapa leo?

Jibu analo M/kiti Chama, wengine mtaongea bahati na sibu Tu, M/kiti ufike Wakati atwambie mpango wake
TATIZO GANI? Wewe na Ndugai yaelekea kichaka chenu ni kimoja. Huko kwenu kumejaa matatizo, mwakwepa hata kuyanong'ona msije kuwasababishia madhara SHANGAZI zenu. Sijui uhalali wa kushauri wengine mwaupataje?
 
Chadema ipo itakuwepo leo kesho na hata milele mpa wanyang'anyi mfisiem yaombe poooo
 
Hapo chacha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwandiko MATAGA hawawezi kuusoma, wao ni NDIYOO, ndio maana hata walipotoa pendekezo ZITTO auwawe walisema ndiyoooo.
That means kwa sasa ZITTO anajua watu wanaotaka afe, na wengine wametangulia kujibu mashtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…