Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshonzi, never with CCM members, history tells it all! Kuna vitu vinajulikana, inajulikana kuwa wahaya wana majivuno ya Usomi, wanathamini sana elimu! Nshomile, nothing will go contrary to that among the Hayas! Umenipata nadhani! Nshonzi, Nshomile!Usimdharau usiye mjua,unajuaje kama siyo kati ya hao wabunge?
Wajiuzulu ubunge kwani walipewa huo ubunge kama Zawadi na Rais?Wafanye tu wanaloona ni SAHIHI na pia hao wanaotaka kufanya wanachoona ni sahihi na wao wanatakiwa WAWE NI WASAFI KWELI KWELI hili mwisho wa siku wakimunyooshea KIDOLE mwenzao kiwe na IMPACT......NA MWISHO WA SIKU RAIS atabaki kuwa RAIS tu.....na ndio maana hata hao WALIOJIUZURU kwenye kamati ya BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA. kama kweli wanamaanisha wanachokisimamia basi wajiuzuru mpaka huo UBUNGE WAO.....hatutaki UNAFIKI
kama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili. kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake. wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wabunge wenyewe wa CCM Ndiooooooo!!!! mwanzo mwisho hawana ubavu huo Labda wamuombe Raisi TLS aingilie kati
Do! tanzagiza !Wafanye tu wanaloona ni SAHIHI na pia hao wanaotaka kufanya wanachoona ni sahihi na wao wanatakiwa WAWE NI WASAFI KWELI KWELI hili mwisho wa siku wakimunyooshea KIDOLE mwenzao kiwe na IMPACT......NA MWISHO WA SIKU RAIS atabaki kuwa RAIS tu na tena SI RAIS TU BALI RAIS mwenye MSIMAMO.....na ndio maana hata hao WALIOJIUZULU kwenye kamati ya BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA. kama kweli wanamaanisha wanachokisimamia basi wajiuzulu mpaka huo UBUNGE WAO.....hatutaki UNAFIKI
Jipe moyo...mkwere ana kadi ya Chadema...ogopa hii nchi wewe...atakwenda na majiMsije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
wabunge hao hao ndo wanafiki wakubwa...wameptisha sharia za vyombo vya habari kandamizi,.,,,makato ya bodi ya mikopo na nyingmne kibao.....hili la bashite ndo wanataka taftia kiki?Kama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.
Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.
Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
KWANI WAO NDO WALIOMCHAGUAHhhhhhhh ninahamu kuona Bunge lina piga kura ya kutokua na imani na JM