Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

25 Amendment (Amendment XXV) ya kule mbele ipo huku?
 
Usimdharau usiye mjua,unajuaje kama siyo kati ya hao wabunge?
Nshonzi, never with CCM members, history tells it all! Kuna vitu vinajulikana, inajulikana kuwa wahaya wana majivuno ya Usomi, wanathamini sana elimu! Nshomile, nothing will go contrary to that among the Hayas! Umenipata nadhani! Nshonzi, Nshomile!
 
Wajiuzulu ubunge kwani walipewa huo ubunge kama Zawadi na Rais?
 
Jina lako linaleta ukakasi wa habari yooote!

Yaani nilivolisoma tu, nikaacha kuisoma na habari yenyewe
 
hebu nicheke kwa dharau kuuubwaaaaaaaaaaaa!! Teh teh teh teh tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! Wabunge wenyewe akina Lusinde? Wabunge wenyewe akina Maji Marefu? Wabunge wenyewe akina Jah People? Wabunge wenyewe akina Mwakiembe? Hebu tuache utani bwana haitakaa itokee. Tutasubiri sanaaaaaaaa! Bora kama hao CCM ndo wangekuwa wa upinzani leo hii tungekuwa tunaongea mengine!
 
Yes wajiuzulu hao. Matamuko tu hayatawasaidia. Wakijiuzulu ubunge wao mi nitawaunga mkono. Wote nitawafanyia surprise majimboni mwao.
 
jaribu kuedit hapa kwenye rangi kuepuka yale aliyoyasema Mkulu leo kwamba tunapost UMBEYA
 
WIZI UMERUHUSIWA RASMI KWENYE OFISI ZA UMMA, KILA MTU POPOTE ALIPO NAYE AJINUFAISHE TU ASIOGOPE...
 
Wabunge wenyewe wanaoburuzwa na serikali kila siku, sitegemei jipya toka kwao.

Maana hao ndio wanoongoza kwa kula rushwa hasa kwenye kamati zao humo.

Juzi tu kamati ya mali asili na utalii wameshikana mashati huko loliondo kwa kutuhumiana kula rushwa toka Mfalme wa Loliondo.

Tatizo bunge lenyewe limekaa kinafiki tu zaidi ya kujali matumbo yao tu.!
 
Siasa za maji taka,propaganda hazitalifikisha Taifa popote.

Tufanyeni kazi.

Tanzania bila madawa ya kulevya inawezekana.
 
Do! tanzagiza !
 
Namm nimewapigia cm wenzangu tujiuzuru mana tunabuluzwa kwenye nafasi zetu lo!
 
Mm wala siombi kwa aajili ya nchi maana inaongozwa na mungu
 
Msije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
Jipe moyo...mkwere ana kadi ya Chadema...ogopa hii nchi wewe...atakwenda na maji
 
wabunge hao hao ndo wanafiki wakubwa...wameptisha sharia za vyombo vya habari kandamizi,.,,,makato ya bodi ya mikopo na nyingmne kibao.....hili la bashite ndo wanataka taftia kiki?
 
Muhimili wa Bunge umejaribiwa sana hapa

Hivi Ndugai Bado anaumwa?

Tangu kipindi cha ESCROW alivyosafirishwa ndugai hajawahi kupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…