Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

Wajuzulu tuchague wabunge wengine wametuchosha na maigizo. Walishaambiwa hapa ni kazi tu mambo ya miposho ni historia!
 
Uchaguzi umekishwa Hivi wewe linakuuma nini ? Fanya Kazi upate pesa, Siasa tupa kule
 
Njaa yako mbaya
 
Hakuna mbunge wa tz anayeweza Fanya hivyo na hii ni kwasababu wote wapo kwaajili ya malsai yao na si maslai ya taifa.
 
Ubunge walichaguliwa na wanainchi wao,kamati nipale Bungeni sasa jaribu kuozanisha ndo utoe hoja yako(EG) ?Makonda ulimpigia kura kama Mukufuli au Sorex aka.
 
wapumbavu hawa... wasingekataza katiba mpya haya yote yasingetokea pumbavu zao kabisa
 
Ndiooo mi nadhani NDIO wameshinda..swali linalofuata........?
 
Kweli . Lakini watathububutu?
Watafanya kweli?
Siamini.
Nangoja kuona.
 
Mkuu idadi kubwa ya wabunge ni carrier politicians,yaani kazi yao wanategemea siasa kama njia ya kupata riziki.
Itakuwa vigumu kuchezea kitumbua chao kukitia mchanga.
Siwalaumu wakiwa bubu kwa maswala kadha,shida ni njaa itokanayo na ufukara.
 
Msije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
Liwalo na liwe.
 

Kuwaambia wabunge la kufanya ni kuwatukana kama wanavyojitukana kwa kususia vikao vya bunge na badala wanarudi kwa wapiga kura au kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Watanzania pia tumekuwa watumwa wa mitandao ya kijamii kiasi tunataka nchi nayo iendeshwe kwa mipasho na udaku wa mitandao.
 
Hii kweli tetesi, ila imepwaya sana. Kama riwaya ya kutunga (non-true story)
 
hata FARAO alikuwa na msimamo hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…