kasinge waitu!Wakola waitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasinge waitu!Wakola waitu
Hiyo flyover Ina direct impact gani kwa mimi niliyepo hapa sing'isi?Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
wabunge watulie tu wasije jikuta mtu anavunjika kiuno bure. wengi wa wabunge wala hawajui tena ccm inasimamia nini. ikiwa walifaulu kuingia bungeni kwa kutumia hela wanajua hela ndio kila kitu na bila kua nazo tena nyingi hurudi tena mjengoni. kwa sasa bado wanampima mwenyekiti mpya wa ccm anayesema watu wanaweza kuingia mjengoni bure. hakika hawamuelewiKama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.
Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.
Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
Mkuu siasa haziko hivo. Sisi Wananchi tunafurahia kuwa na rais Magufuli, mchapa kazi wa kiwango hiki. Yaan mpaka miaka hii mitano iishe, nchi Itakuwa na kila kitu tulichokuwa tunakitaman.
Siasa ni kuwa na mawazo tofauti na hayo mawazo kuyauza kwa Wananchi ili wakupe ridhaa. Sasa kama Wananchi waliokupa kura wanakukubali kwann uache kufanya mambo ambayo yaliwafanya wakupe kura. Mtu yeyote anaruhusiwa kuwa na mawazo tofaut lakin mawazo ya walio wengi au mawazo ya walio na mamlaka ya kuamua ndio husimama.
Ukiona mawazo yako hayakubaliki na huwezi kuvumilia, unatoka, unaondoka na kwenda kujiunga na upande wa Pili. Ni sahihi kisiasa na inaruhusiwa.
Huwezi kuwa na mawazo negative lakin unalazimisha ndo yawe mwelekeo wa chama au serikali, huwezi kuwa na mawazo ya kuifanya serikali ionekane imeshindwa na wauza unga halafu ulazimishe kufuata mkondo huo then uendelee kuwa sehemu ya Serikali.
Tulizoea awamu ya Kikwete kuona mafisadi na wauza unga wakiamua kukuondoa madarakan kwa sbb umewaudhi ilikuwa lazima uondoke. Wapo wabunge walioondolewa kwenye ubunge kwa sbb waliwaudhi mafisadi, wapo hata mawaziri kama akina muhongo waliondolewa kwenye nafasi zao kwa sabb Mkuu alisalimu amri ya mafisadi.
Kama Magufuli angemuondoa Makonda madarakan, ange prove kuwa serikali yake imesalimu amri kwa wauza unga. Wafanye fitina wawezavyo lakin wajue kuwa awamu hii wanalo.
Kwa hiyo wabunge wasiokubaliana na mh Rais wabaki tu kama wabunge na ku practice kazi zao. Wahakikishe ahadi walizotoa kwa Wananchi wao wanazitekeleza, kama ahadi yao ni kumdhibit Magufuli na wameshindwa kwa sbb hadhibitiki, bas wajiuzuru waondoke kwa sbb Wananchi wao watawapima kwa hilo.
Lakin kama kilichowaleta bungen ni kutatua kero za Wananchi wao bas awamu hii, watatembea kifua mbele kwa sbb asilimia kubwa ya kero za Wananchi zitatatuliwa.

Unajuaje Kama nae mmoja wao?Acha kuwanenea wabunge uongo.....waache watasema wenyewe ...usiwalishe maneno
Una popcorn!?
Kama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.
Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.
Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
Halina mamlaka hayo kikatiba isipo kile wanaweza Fanya ni kumu impeachHhhhhhhh ninahamu kuona Bunge lina piga kura ya kutokua na imani na JM
ninazo hapaUna popcorn!?
Yule hatatoka ng'oo.Unasema tu wewe haujui katiba inasemaje. Je Kama wakipiga kura yakutokua na imani na Raisi na akidi ikatimia , si anachomoka.
sio bongo au unazungumzia bunge la sauzi mkuuKama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.