Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

Wabunge wajiuzuru kwani walichaguliwa na Rais? Kwani bungeni wanamwakilisha Rais? Watakuwa wazembe na wasiojielewa. Kama mawaziri watajiuzuru sawa, hao ni wateule wake.
 
wabunge hao hao ndo wanafiki wakubwa...wameptisha sharia za vyombo vya habari kandamizi,.,,,makato ya bodi ya mikopo na nyingmne kibao.....hili la bashite ndo wanataka taftia kiki?
Wameshaona matokeo ya walichokifanya. Wasirudie makosa [HASHTAG]#voteofnoconfidence[/HASHTAG]
 
Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Hebu jiulize alipoingia madarakani ndio aliianzisha shughuli hiyo?
Sio kweli kuwa ilianzishwa na yule aliyemtangulia,anayedharauliwa kila kukicha?
 
Hahaha, juma pondamali asiuone huu uzi la una kesi ya kujibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Point
 
Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Shughuli gani iliyofanywa pale ubungo ras jeff sijalewa kaka nijuze kidoogo!!
 
We huna uelewa hata ya unachoandika
 
I wish wapeleke hoja ya kutokuwa na imani na rais Ili apigiwe kura ya kutolewa madarakani
Hao hadi Mungu afanye muujiza wake la sivyo sioni wakifanya hivyo. Nchi nzima mtu mmoja anatuweka mfukoni
 
Bajeti ya mwaka ya matumizi ya Wizara ilikuwa ndogo mno na hakuna hata nusu waliyopata sasa mwaka huu ndio kakata kabisa
 
Msije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
Kwa katiba,tuliyonayo hata yeye analihitaji Bunge lenye wabunge wa CCM majority, utaongoza kwa shida mno bunge likiwa 50/50 kwa hili hata yeye hawezi kirahisi tu kuvunja Bunge, though kufanya hivyo kunaweza sasa kuzaa demokrasia ya kweli maana tuna imani wapinzani wanaweza kuongeza viti hasa kwa ujio wa wale majeruhi wa kisaisa toka CCM.
 
Chin ya wabunge hawa wa CCM sahau kabisa hilo swala aisee
 
Chin ya wabunge hawa wa CCM sahau kabisa hilo swala aisee
Kwa upande Wa Cdm ndio kabisaaaaaaaaaa.....
Hata uthubutu wa kujadiliana juu ya kwanni CheaMan kwa miaka zaidi ya 16[emoji87] [emoji87]
 
Kweni wakitoka kuna shida?wapo watakaoweza kwenda na kasi tunayoitaka wananchi..mkeo akitoka kwako si utaoa mwingine kweni nini bhana...
 
Wabunge kadhaa wa chadema teh teh hilo bunge likaitwshe Hai...kwa pesa ya mbowe na gwajima
 
TULIFUNDISHWA KATIKA SOMO KA URAIA KUWA BUNGE LINA UWEZO WA KUMTOA RAIS MADARAKANI KWA KUPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAE.
yaani wabunge wa ccm wampigie kula mwenyekiti wa chama kuwa hawana imani naye siyo au sijakuelewa. unaweza kunipa mifano ya wabunge watatu wa ccm wenye uwezo . huo mh rais anaagiza tufanye kazi tuache umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…