Hiyo ndo impacts ya kuongezeka kwa maarifa kati ya wabunge. Kwetu wabunge wengi wakielimika siyo tu watatwangana bali watachomana na visu pia, so usishangae Kenya . Tz mnajiona kama vile wastaarabu kwasababu wabunge wengi ni wa kawaida. Sasa Mbunge kama Nassari anaesifia mfumo kandamizi ulioshindwa hata kutuongezea ka-elfu-ishirini kwenye mishahara yetu baadala yake imepunguzwa eti hesabu zilikuwa zinafanyika vibaya, huwezi kuona changamoto kama za Kenya. Kenya wako miaka 10 mbele yetu. Do you get that?