Wabunge Kenya wapigana bungeni

Wabunge Kenya wapigana bungeni

Hilo neno aibu lipo katika hiyo taarifa au ni unyumbu wako wa Lumumba ndo umeona hivyo?
Mkuu tumia lugha za staha hata kama wewe ni mmoja wa wale waliopigwa. Ni sehemu ya changa moto katika kutekeleza majukumu yako kama mwakilishi wa wananchi, . Lakini ukatae au ukubali kupigana si kitendo cha kistaarabu sembuse bungeni?
 
Ni aibu mbunge wa ccm kuongwa milioni kumi ili kupitisha sheria mbovu ambayo imeisha leta sintofaham hapo kwenu
 
Yaani bora ungeleta habari kama ilivyo bila kuweka maoni yako, maana hiyo aibu unaijua ww! Watu wanatetea maslahi mapana ya wapiga kura ww unasema ni aibu? Shame on you
 
Hiyo ndo impacts ya kuongezeka kwa maarifa kati ya wabunge. Kwetu wabunge wengi wakielimika siyo tu watatwangana bali watachomana na visu pia, so usishangae Kenya . Tz mnajiona kama vile wastaarabu kwasababu wabunge wengi ni wa kawaida. Sasa Mbunge kama Nassari anaesifia mfumo kandamizi ulioshindwa hata kutuongezea ka-elfu-ishirini kwenye mishahara yetu baadala yake imepunguzwa eti hesabu zilikuwa zinafanyika vibaya, huwezi kuona changamoto kama za Kenya. Kenya wako miaka 10 mbele yetu. Do you get that?
 
Juzi tuu mbunge wa upinzani kamtukana rais wa kenya kuwa ni mshenzi zaidi ya mara tatu! Sijui ww ungetoa neno gani? Lakini mwenye nchi Kenyatta kajibu kasema its freedom of speech! Yaani huyu jamaa wa mda huu sijui kawashikia akili zenu mi hata siwaelewi!
 
Dah hii ndo afrika ye2 jamani daah
Africa Gani Tanzanians Grow up

In south Africa Mps fight on A daily basis

If your members of parliament Do not fight Then they are not doing their Job properly ....


Parliaments purpose is to disagree
That is why You can Abuse the president or Beat mps and not get arrested there is a reason why when you are in Parliament You cant be sued for what you say

1482432053068.png
1482432084482.png
1482432136432.png
1482432170323.png
1482432467816.png
1482432479043.png
 
I mean we as Kenyans don't encourage violence but in situations like those u need to stand up for the people who elected you, even if you have to throw punches
 
Depay or anyone who wish to contribute...
Jubilee and cord agreed on the deal they made by abolishing the current IEBC commissioners.. There are also other deals they made which they also agreed not to change even a commar... Soo now mbona Jubilee wanaenda kinyume
 
Back
Top Bottom