Wabunge Kenya wapigana bungeni

Thats not freedom of speech its freedom of insult.
 
Hilo neno aibu lipo katika hiyo taarifa au ni unyumbu wako wa Lumumba ndo umeona hivyo?

Nyumbu( chama changu)
Lumumba( kwao) sasa umefanya nini? Tunaanza kukubali majina[emoji134]
 
Baada ya kupigana na kutoka
Faida gani wameipata!!!
January Wakati Maandamano ya wiki mzima yataanza utayaona Faida yao Kama unadhani Ile maandamano ya IEBC yalikuwa Makubwa ngojeni muone ya January mshangae

Moses Kuria wa Jubilee ampiga Sumra

 
Naona wamemuonea huyo baniani mla pilipili nguvu azitolee wapi
 
Hawa jamaa wanafurahisha mno, kutwa mayowe humu wanadai wana katiba nzuri Africa na ulaya yote ila maandamano na kuzichapa ni daily. Kweli siasa za Africa ni pasua kichwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…