Una ushahidi?Ni aibu mbunge wa ccm kuongwa milioni kumi ili kupitisha sheria mbovu ambayo imeisha leta sintofaham hapo kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi?Ni aibu mbunge wa ccm kuongwa milioni kumi ili kupitisha sheria mbovu ambayo imeisha leta sintofaham hapo kwenu
Thats not freedom of speech its freedom of insult.Juzi tuu mbunge wa upinzani kamtukana rais wa kenya kuwa ni mshenzi zaidi ya mara tatu! Sijui ww ungetoa neno gani? Lakini mwenye nchi Kenyatta kajibu kasema its freedom of speech! Yaani huyu jamaa wa mda huu sijui kawashikia akili zenu mi hata siwaelewi!
Hilo neno aibu lipo katika hiyo taarifa au ni unyumbu wako wa Lumumba ndo umeona hivyo?
January Wakati Maandamano ya wiki mzima yataanza utayaona Faida yao Kama unadhani Ile maandamano ya IEBC yalikuwa Makubwa ngojeni muone ya January mshangaeBaada ya kupigana na kutoka
Faida gani wameipata!!!
Nitalala usingizi mzito maana nmefurahi na hiyo lugha uliyotumia