Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
-
- #41
Kabla ya kuandika soma kwanza uelewe hoja mkuuWabunge ndio wawakilishi wa wananchi, ukitaka kuwafikai wananchi kwa urahisi unapita kwao. Sijui kwa nini unapata tabu kuelewa jambo rahisi kama hilo. Una mawzo ya kizikizi tu na kama watu wanavyo sema kama unakijua basi uanacho au unakifanya
Mbona unapenda sana mambo ya ushoga? Kila mfano mpaka uongelee ushoga? We utakua hauna marinda si bure.Kwani lisu akiwa ni shoga basi chadema yote ni ya mashoga?
Ni kweli Anachosha sana mkuuMbona unapenda sana mambo ya ushoga? Kila mfano mpaka uongelee ushoga? We utakua hauna marinda si bure.
Inahitaji watu wenye akili sana kung'amua Hilo mkuuYeye anajiwekea mazingira ya kugombea urais huko mbeleniz sio zaidi ya hapo.
Kama ni hivyo basi kama nchi tuna hasara kubwa sanaHatuna bunge, kile ni kikundi cha wapiga soga tu
Kwa hiyo unadhani mimi ni mfuasi wa lisu?Mbona unapenda sana mambo ya ushoga? Kila mfano mpaka uongelee ushoga? We utakua hauna marinda si bure.