Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
- #41
Kabla ya kuandika soma kwanza uelewe hoja mkuuWabunge ndio wawakilishi wa wananchi, ukitaka kuwafikai wananchi kwa urahisi unapita kwao. Sijui kwa nini unapata tabu kuelewa jambo rahisi kama hilo. Una mawzo ya kizikizi tu na kama watu wanavyo sema kama unakijua basi uanacho au unakifanya
Unajua majukumu ya wabunge kwa ujamla wake ?
Unajua majukumu ya bunge kwenye bajeti ya taifa ni yapi ?
Kuna muhili mmoja unatakiwa kujadili na kupitisha bajeti TU Kisha muhimili mwingine unaingia kwenye utekelezaji wa bajeti kupitia mifumo yake
Usipoelewa kwanini Kuna ukakasi kwenye jambo soma post #8