Wabunge kugawiwa mitungi ya Gesi linaleta ukakasi mkubwa. Je, haiwezi kuwa rushwa au waziri kutafuta kukubalika?

Wabunge kugawiwa mitungi ya Gesi linaleta ukakasi mkubwa. Je, haiwezi kuwa rushwa au waziri kutafuta kukubalika?

Wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, ukitaka kuwafikai wananchi kwa urahisi unapita kwao. Sijui kwa nini unapata tabu kuelewa jambo rahisi kama hilo. Una mawzo ya kizikizi tu na kama watu wanavyo sema kama unakijua basi uanacho au unakifanya
Kabla ya kuandika soma kwanza uelewe hoja mkuu

Unajua majukumu ya wabunge kwa ujamla wake ?
Unajua majukumu ya bunge kwenye bajeti ya taifa ni yapi ?

Kuna muhili mmoja unatakiwa kujadili na kupitisha bajeti TU Kisha muhimili mwingine unaingia kwenye utekelezaji wa bajeti kupitia mifumo yake
Usipoelewa kwanini Kuna ukakasi kwenye jambo soma post #8
 
Mbona unapenda sana mambo ya ushoga? Kila mfano mpaka uongelee ushoga? We utakua hauna marinda si bure.
Ni kweli Anachosha sana mkuu
Mtu hutoa yaliyomjaa moyoni , ukiona mtu anaongelea jambo kila wakati unajua ameshaathirika nalo,
Unajitutumua watu wasimshutike ,haiwezekani kila hoja uingize huo upumbavu kama mvua haijamshea
 
Mbona unapenda sana mambo ya ushoga? Kila mfano mpaka uongelee ushoga? We utakua hauna marinda si bure.
Kwa hiyo unadhani mimi ni mfuasi wa lisu?
Nilijiondoa chadema kabla chama hakijaanza kushobokea ushoga.
Lakini, jibu swali langu sasa!
 
Bingwa wa kutoa rushwa na kuonga, ametoa V8 kwa kimada
 
Back
Top Bottom