Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu ni kuvunja kiapo

mumburya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
321
Reaction score
448
Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama kwa mujibu wa sheria za jm.
 
Hujafafanua maana waliokua wakizomea Ni wapinzani nahisi Kuna jambo wslikua wanashinikiza hasa nani aanze hotuba Rais au Warioba,hili jambo limepangwa tangu last week,tulitoa taarifa wakatupuuza
 
Sikutarajia watu wazima wangekua na nizamu ya hovyo kiasi hicho.
mmmmh, hata kama kuna kanununi zimevunjwa, sasa pale inaonyesha wazi kama Mzee warioba ndio anazomewa.
kweli ni wahuni tu hawa.
 
Kwa sasa hivi kila kitu kinachotokea ndani ya Bunge hili la Katiba ni lazima kimeandaliwa na CCM kwani kwa wingi wao Bungeni wanatumia nafasi hiyo kuharibu mchakato mzima na ninalisema hili kwa kuwa wameishafanya mikutano mingi sana ya siri hapo Dodoma tunachojiuliza ni nini hasa walichokijadili katika hivyo vikao vyao vya siri?
 
Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama kwa mujibu wa sheria za jm.

Spika Samweli sita amevunja kanuni ilitakiwa raisi ahutubie ndio walioba asome pia wabunge wanalalamikia kubuluzwa na spika kwa kumpa walioba masaa ma wili huku rasim ya katiba imeandaliwa miaka miwili wanataka apewe muda hata masaa ma tano ili afafanue ki undani zaidi
 
Sitta hajafuata kanuni.Ilitakiwa rais autubie na kufungua bunge.
 
Jamani tupeni habari hasa ilikuwaje kwenye ukumbi imeanza anzaje na rasimu imewasilishwa kama bado utaratibu ni upi? kesho itakuwaje? Rais naye amekuja?
 
Usikurupuke na kupost vitu ambavyo huna taarifa nanvyo, ni ujinga kutaka kuonekana umepost wakati hujui ni nini kimetokea. Wajumbe si kwamba wamemzomea Warioba bali walisimama kupinga speaker kuvunja kanuni kwa kwa mujibu wa kanuni inatakiwa rais kwanza ndio aanza kuhutubia ndia afuate Warioba sasa speaker kabadili utaratibu na kuweka wa kwanza Warioba ndio afuate Rais hivyo wanaona kama akianza Warioba ndio aje Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM atahutubia kwa kujibu HOJA za Warioba hivyo itakuwa ni kama kuwapa maelekezo wajumbe hasa wa CCM wa nini cha kufanya baada ya hotuba ya Warioba
 
Kwa sasa hivi kila kitu kinachotokea ndani ya Bunge hili la Katiba ni lazima kimeandaliwa na CCM kwani kwa wingi wao Bungeni wanatumia nafasi hiyo kuharibu mchakato mzima na ninalisema hili kwa kuwa wameishafanya mikutano mingi sana ya siri hapo Dodoma tunachojiuliza ni nini hasa walichokijadili katika hivyo vikao vyao vya siri?

wewe Ni kichaa,waliokua wanapiga kelele Ni wapinzani CCM inaingiaje?
 
Kwa sasa hivi kila kitu kinachotokea ndani ya Bunge hili la Katiba ni lazima kimeandaliwa na CCM kwani kwa wingi wao Bungeni wanatumia nafasi hiyo kuharibu mchakato mzima na ninalisema hili kwa kuwa wameishafanya mikutano mingi sana ya siri hapo Dodoma tunachojiuliza ni nini hasa walichokijadili katika hivyo vikao vyao vya siri?

Cha ajabu wanafanya vikao vya SIRI, ila wanataka kura za WAZI. Hawa jamaa walitaka kushinikiza Jaji Warioba asome ripoti yake kabla ya ufunguzi rasmi wa bunge hili na mh. Rais JK, ili JK amlime vijembe kwenye ripoti ya Warioba. Sasa wabunge wengi wameamua kufanya fujo ili kanuni hii isivunjwe na Warioba asiisome leo ripoti yake mpaka rais alifungue bunge. Shinikizi la kuvunja hii kanuni limeshindikana, inaelekea fujo kama hizi zitakuwa nyingi sana katika bunge hili hasa kutokana na mashinikizo wanayoyalazimisha CCM (less than 5 Milion) ili kufanikisha matakwa yao dhidi ya matakwa ya wananchi (45 Milion).
 
Hujafafanua maana waliokua wakizomea Ni wapinzani nahisi Kuna jambo wslikua wanashinikiza hasa nani aanze hotuba Rais au Warioba,hili jambo limepangwa tangu last week,tulitoa taarifa wakatupuuza

hi tamthilia kipoko, ilianza na posho haitoshi/posho inatosha, yawazi/ya siri na sasa nani aanze rais/mwenyekiti wa tume
 
Kwa sasa hivi kila kitu kinachotokea ndani ya Bunge hili la Katiba ni lazima kimeandaliwa na CCM kwani kwa wingi wao Bungeni wanatumia nafasi hiyo kuharibu mchakato mzima na ninalisema hili kwa kuwa wameishafanya mikutano mingi sana ya siri hapo Dodoma tunachojiuliza ni nini hasa walichokijadili katika hivyo vikao vyao vya siri?

Kuna mwingine kachaguliwa jana kwa kishindo mwingine cku chache zijazo,,,!!
 
Wapo watu wawili tu wanaotaka serikali tatu by Sitta
 
Kanuni ya 7 G na H zimevinjwa. G inamtaka raisi aje bungeni na kufanya ufunguzi wa bunge baada ya hapa kanuni ya 7 H inasema m/kiti wa tume atakuja kuwasilisha rasimu ktk bunge. So kimsingi raisi alitakiwa aje yeye kwanza bse ndiye boss then warioba, CCM wamebaka kanuni mapema hii. Nadhani walikuwa wanamtengenezea Jei Kei mazingira ya kupata muda wa kusikia atakachosema Warioba then aweze kuleta mipasho na kudhoofisha mchakato wote
 
Mapema kabisa naiona katiba isiyotokana na maoni ya watanzania,bali chama tawala.Kama kweli CCM ipo kwa maslahi ya watanzania,swali la kujiuliza Ni lini ilikusanya maoni ya watanzania kama chama?
 
Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama kwa mujibu wa sheria za jm.
Kama hujui kitu si bora kukaa kimya mkuu!!au kila sehemu ni propaganda!!
 
Back
Top Bottom