Wabunge kutoka eneo lenye Wasomali Wengi wamtaka DP Gachagua ajiuzulu Kwa kosa la kumshutumu hadharani DG wa Intelejensia, Noordin Hajji!

Wabunge kutoka eneo lenye Wasomali Wengi wamtaka DP Gachagua ajiuzulu Kwa kosa la kumshutumu hadharani DG wa Intelejensia, Noordin Hajji!

Wabunge kutoka Mashariki ya Kenya kwenye Wasomali wengi wamemtaka Naibu Rais mh Gachagua ajiuzulu

Wabunge hao wamesema Gachagua hakupaswa kumshutumu hadharani Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa taifa mh Noordin Hajji

Source: Citizen Tv
Hivi utaacha kuwa mpotoshaji wa habari lini?
Gavana wa sasa wa Mombasa na aliye maliza muda wake, hao ni wasomali?.

Ni lazima iwe usomali na siyo sifa nyingine?
 
1000121819.jpg
 
Na uzuri/ubaya, Ruto hawezi kumfuta kazi huyo jamaa; kama Kenyatta alivyoshindwa kumfuta kazi Ruto enzi zile!
Katiba ya wakenya iko sawa na ya Malawi. Rais wa Malawi na makamu wake (aliyekufa kwa ajali ya chopa ), walikuwa maji na moto. Lkn rais akawa hana namna ya kumfuta kazi makamu wake.
 
Katiba ya wakenya iko sawa na ya Malawi. Rais wa Malawi na makamu wake (aliyekufa kwa ajali ya chopa ), walikuwa maji na moto. Lkn rais akawa hana namna ya kumfuta kazi makamu wake.
Hapo sasa!
Kwa Kenya, lolote likitokea kwa Rigathi, unajuwa kitakacho fuata. Hali ilikuwa hivyo hivyo, lolote lingetokea kwa Ruto enzi hizo, pange chimbika (hata kama ni ajali) kweli.
 
Back
Top Bottom