Wabunge kutoka eneo lenye Wasomali Wengi wamtaka DP Gachagua ajiuzulu Kwa kosa la kumshutumu hadharani DG wa Intelejensia, Noordin Hajji!

Wabunge kutoka eneo lenye Wasomali Wengi wamtaka DP Gachagua ajiuzulu Kwa kosa la kumshutumu hadharani DG wa Intelejensia, Noordin Hajji!

Ndani kabisa Msomali hatupendi Wabantu, na Wabantu wanabaguliwa sana ndani ya Somalia. Wasomali wenyewe wanapenda kujitambulisha kama Waarabu na sio Waafrica. Tuishi nao tu.
Wakishamalizana na Ruto wanafuata wasomali
 
Wabunge kutoka Mashariki ya Kenya kwenye Wasomali wengi wamemtaka Naibu Rais Gachagua ajiuzulu

Wabunge hao wamesema Gachagua hakupaswa kumshutumu hadharani Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa taifa, Noordin Hajji

Source: Citizen Tv
Hiyo Nchi Kila mtu ni kambale ni ya hovyo na ndio role model ya Machadema 😆😆
 
Kumchukia Tajiri ni ujinga ndugu njoo na Hoja nyingine.

Msomali anateka Meli na anawekeza Kenya wewe umekalia kula Tunda kimasihara utamchukia mpaka utajifunza jinsi ya Kuloga😁
Subirini hayo machafuko yageuke ukabila ndipo itakuwa mwisho wa kenya tunayoijua.

Ruto amesitisha kusaini huo muswada lakini bado hao waanda.anaji wanaleta madai mapya. Nyuma ya hizi vurugu Kenyatta na wanasiasa wengine wa upinzani wanahusika. Lengo ni kumtoa Rutto madarakani. Kenya ilifanya uchaguzi huru na wa haki ambao hapa africa mashariki huupati kwingine. Wao Generation Z wana mandate gani kulazimisha wanachokitaka wao? Wasubiri 2027 wakutane katika box la kura kamq kweli ni sauti ya wakenya.

Matatizo ya kiuchumi ya kenya hayakuanza na Rutto yalikuwepo tangu wakati wa uhuru 1963 hadi Wakati wa rais uhuru kenyatta.
Hicho kinachoitwa ufisadi haki ya kweli ikija kenya muathirika namba moja itakuwa familia ya kenyatta ambayo imejilimbikizia mali na ardhi kubwa ambayo waliichukua toka kwa wananchi enzi za baba yake na ni moja ya chanzio cha hali ngumu kwa wakenya. Wakati uhuru kenyatta anashabikia kichinichini na kujiona mjanja asubiri haki kamili itendeke kama atabaki na hiyo ardhi.

Katiba ya kenya ni mbovu na haifa kuigwa kwa sababu inachochea anarchy na ilitengenezwa kwa jazba na haya ndiyo matokeo yake.
 
Ndani kabisa Msomali hatupendi Wabantu, na Wabantu wanabaguliwa sana ndani ya Somalia. Wasomali wenyewe wanapenda kujitambulisha kama Waarabu na sio Waafrica. Tuishi nao tu.
Mbona Wasomali hawana ugomvi na Nilotes labda ni ugomvi wa Biashara na Mkikuyu ambaye ni Mbantu.
 
Kuhubiri Uzanzibari wa Samia eti anauza meli za Tanganyika

Kusema hamtaki Muungano

Kusema mnataka Majimbo Kwa msingi wa makabila

Na siasa za kijinga kama hizo
Your are all over the place, tunaposema Muungano tunaongelea mapungufu ya huu Muungano kuhusu Majimbo ha Germany ni Majimbo.

We Jamaa ni zaidi ya CHAWA wewe ni Virus.
 
Your are all over the place, tunaposema Muungano tunaongelea mapungufu ya huu Muungano kuhusu Majimbo ha Germany ni Majimbo.

We Jamaa ni zaidi ya CHAWA wewe ni Virus.
Mapungufu ya Muungano yanaongelewa Kwa kueneza ukabila ?
 
Huyo Gachagua analioa kisasi, Noordin aliwahi kuwa mwendesha nashtaka Gachagua alipokuwa na kesi ya wizi wa mali ya umma.

. Ukoo wa Haji unejitowa kwa hali na mali Kenya.

Mwanae huyo wake ndiyo alikuwa shujaa aliyepambana westgate, ilipovamiwa na Alshabab.
 
Back
Top Bottom