Wabunge kutoka eneo lenye Wasomali Wengi wamtaka DP Gachagua ajiuzulu Kwa kosa la kumshutumu hadharani DG wa Intelejensia, Noordin Hajji!

Msomali ni msomali tu huwezi kumpa nafasi nzito kama hiyo....kenya matajiri weusi wapo kibao hao wasomali hawakuti hana nusu ya utajiri wa kirubi au jimmy wanjigi yule jamaa alitolewa kugombea uraisi2022
Wanawachukia wasomali sababu ni matajiri wakubwa hapo kenya wanamiliki mahoteli,Malls na apart
 
Msomali ni msomali tu huwezi kumpa nafasi nzito kama hiyo....kenya matajiri weusi wapo kibao hao wasomali hawakuti hana nusu ya utajiri wa kirubi au jimmy wanjigi yule jamaa alitolewa kugombea uraisi2022
Mbona sisi hapa tulimpa Kinana Msomali Wizara nyeti ya Ulinzi?!

Tuacheni chuki dhidi ya Watutsi,Wasomali na Wahutu.
 
Kumchukia Tajiri ni ujinga ndugu njoo na Hoja nyingine.

Msomali anateka Meli na anawekeza Kenya wewe umekalia kula Tunda kimasihara utamchukia mpaka utajifunza jinsi ya Kuloga😁
Wanaowachukia wasomali ni makabila mengine ya hapo kenya,nichukie msomali ananihusu nini?
 
Msomali ni msomali tu huwezi kumpa nafasi nzito kama hiyo....kenya matajiri weusi wapo kibao hao wasomali hawakuti hana nusu ya utajiri wa kirubi au jimmy wanjigi yule jamaa alitolewa kugombea uraisi2022
Mkuu, Ferdinand komba polisi usariver kumbe kafungwa miaka 20 jela ni kati ya wale waliompandikizia mzee Maeda meno ya tembo. Najua unamfaham alikuwa pia dereva.
 
Wanaowachukia wasomali ni makabila mengine ya hapo kenya,nichukie msomali ananihusu nini?
Ndani kabisa Msomali hatupendi Wabantu, na Wabantu wanabaguliwa sana ndani ya Somalia. Wasomali wenyewe wanapenda kujitambulisha kama Waarabu na sio Waafrica. Tuishi nao tu.
 
Wasomali wanaanza kuwapangia sheria wakenya.
Wamekaribishwa na kupewa hifadhi hawana utajiri wowote zaidi ya zile dollar ransom walikua wanateka meli.
Na hapo mtaa wa Congo,Msimbazi wapo wanauza vitu used.
Swala la muda tu watasema hapo ni kwao.
 
Back
Top Bottom