johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamesema Gachagua ndio mkabilaKenya Ukabila sijui utaisha lini?🙁
Nimeishi Kenya enzi za Moi ni Watu wa Coast pekee ndio niliwaona hawana Ukabila lakini wengine wote ni Wakabila.Wamesema Gachagua ndio mkabila
Ile barua ni fakeKenya sasa kila mtu ataandamana 😄 hata hivyo DG nae kamjibu kibabe kwa barua
😂😂😂😂Ukitaka kujua kwanini hao wa wabunge wa huko wameyasema hayo muangalie huyo DG mwenyewe utaona sababu dah inasikitisha lakini
Ooooh sawaIle barua ni fake
Wanawachukia wasomali sababu ni matajiri wakubwa hapo kenya wanamiliki mahoteli,Malls na apartmentsKenya Ukabila sijui utaisha lini?🙁
Hivi utaacha kuwa mpotoshaji wa habari lini?Wabunge kutoka Mashariki ya Kenya kwenye Wasomali wengi wamemtaka Naibu Rais mh Gachagua ajiuzulu
Wabunge hao wamesema Gachagua hakupaswa kumshutumu hadharani Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa taifa mh Noordin Hajji
Source: Citizen Tv
Na uzuri/ubaya, Ruto hawezi kumfuta kazi huyo jamaa; kama Kenyatta alivyoshindwa kumfuta kazi Ruto enzi zile!Awzekana hao wabunge wametwa, maana Ruto na Gachagua haziivi kabisa siku hizi.
View attachment 3027844
Mkuu kumbe na wewe siyo wa pole pole, umewahi kuishi mpaka kenya?Nimeishi Kenya enzi za Moi
Katiba ya wakenya iko sawa na ya Malawi. Rais wa Malawi na makamu wake (aliyekufa kwa ajali ya chopa ), walikuwa maji na moto. Lkn rais akawa hana namna ya kumfuta kazi makamu wake.Na uzuri/ubaya, Ruto hawezi kumfuta kazi huyo jamaa; kama Kenyatta alivyoshindwa kumfuta kazi Ruto enzi zile!
Hapo sasa!Katiba ya wakenya iko sawa na ya Malawi. Rais wa Malawi na makamu wake (aliyekufa kwa ajali ya chopa ), walikuwa maji na moto. Lkn rais akawa hana namna ya kumfuta kazi makamu wake.
Wakikuyu hawana kitu siku hizi ni wasomali,wahindi and foreigners ndio matajari hapo kenyaWasomali Wakinga Wakikuyu ni watu wa kazi labda ukawaloge.