Kumchukia Tajiri ni ujinga ndugu njoo na Hoja nyingine.Wakikuyu hawana kitu siku hizi ni wasomali,wahindi and foreigners ndio matajari hapo kenya
Wanawachukia wasomali sababu ni matajiri wakubwa hapo kenya wanamiliki mahoteli,Malls na apart
Mbona sisi hapa tulimpa Kinana Msomali Wizara nyeti ya Ulinzi?!Msomali ni msomali tu huwezi kumpa nafasi nzito kama hiyo....kenya matajiri weusi wapo kibao hao wasomali hawakuti hana nusu ya utajiri wa kirubi au jimmy wanjigi yule jamaa alitolewa kugombea uraisi2022
Wanaowachukia wasomali ni makabila mengine ya hapo kenya,nichukie msomali ananihusu nini?Kumchukia Tajiri ni ujinga ndugu njoo na Hoja nyingine.
Msomali anateka Meli na anawekeza Kenya wewe umekalia kula Tunda kimasihara utamchukia mpaka utajifunza jinsi ya Kuloga😁
A state built on weak foundation,hakuna nchi pale,ni kundi la watu wabinafsi wasiojua watakacho, hawana dira Wala mwelekeoKenya Ukabila sijui utaisha lini?🙁
Niwie radhi nimemeza Bapa mishale hii🙏🏼Wanaowachukia wasomali ni makabila mengine ya hapo kenya,nichukie msomali ananihusu nini?
Unaongea kwa uchungu kama mkikuyu vile😎😎Hivi utaacha kuwa mpotoshaji wa habari lini?
Gavana wa sasa wa Mombasa na aliye maliza muda wake, hao ni wasomali?.
Ni lazima iwe usomali na siyo sifa nyingine?
Mkuu, Ferdinand komba polisi usariver kumbe kafungwa miaka 20 jela ni kati ya wale waliompandikizia mzee Maeda meno ya tembo. Najua unamfaham alikuwa pia dereva.Msomali ni msomali tu huwezi kumpa nafasi nzito kama hiyo....kenya matajiri weusi wapo kibao hao wasomali hawakuti hana nusu ya utajiri wa kirubi au jimmy wanjigi yule jamaa alitolewa kugombea uraisi2022
"uchungu" umeuona wapi katika maneno hayo kama siyo kuujenga mwenyewe akilini mwako!Unaongea kwa uchungu kama mkikuyu vile😎😎
Kamjibuje vile?Kenya sasa kila mtu ataandamana 😄 hata hivyo DG nae kamjibu kibabe kwa barua
Mbona kama huyo anayelalamika ni Naibu Rais wa Kenya?Yawezekana hao wabunge wametumwa, maana Ruto na Gachagua haziivi kabisa siku hizi.
View attachment 3027844
Ndiye yeye.Mbona kama huyo anayelalamika ni Naibu Rais wa Kenya?
Aisee!Ndiye yeye.
Uko sahihi.Nimeishi Kenya enzi za Moi ni Watu wa Coastal pekee ndio niliwaona hawana Ukabila lakini wengine wote ni Wakabila.
Ndani kabisa Msomali hatupendi Wabantu, na Wabantu wanabaguliwa sana ndani ya Somalia. Wasomali wenyewe wanapenda kujitambulisha kama Waarabu na sio Waafrica. Tuishi nao tu.Wanaowachukia wasomali ni makabila mengine ya hapo kenya,nichukie msomali ananihusu nini?
Kwani hawana kwao?Wanawachukia wasomali sababu ni matajiri wakubwa hapo kenya wanamiliki mahoteli,Malls na apartments
Hii nchi inapaswa kupigwa fagio ili nchi irudi kwa wenyewe.Mbona sisi hapa tulimpa Kinana Msomali Wizara nyeti ya Ulinzi?!
Tuacheni chuki dhidi ya Watutsi,Wasomali na Wahutu.
Wenyewe ni Watanzania.Hii nchi inapaswa kupigwa fagio ili nchi irudi kwa wenyewe.
Unajua Utanzania kuendana na Sheria ya Uraia?Wenyewe ni Watanzania.