Wabunge kutoka eneo lenye Wasomali Wengi wamtaka DP Gachagua ajiuzulu Kwa kosa la kumshutumu hadharani DG wa Intelejensia, Noordin Hajji!

Hivi utaacha kuwa mpotoshaji wa habari lini?
Gavana wa sasa wa Mombasa na aliye maliza muda wake, hao ni wasomali?.

Ni lazima iwe usomali na siyo sifa nyingine?
Nimeona Watu wa Eldoret na Pwani wamesimama na Nurdin Haji dhidi ya Majungu ya Gachagua.
 
Kwanini Mama yako anaogopa TUME HURU?!
Kwani yeye ndio anaamua mambo ya Tume huru?

Miaka yote mnapata wabunge Tume gani ilitumika?

Mwisho mbona kwenye chama chenu mlioshindwa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi mkaanza kugombana? 😆😆
 
Nimeona Watu wa Eldoret na Pwani wamesimama na Nurdin Haji dhidi ya Majungu ya Gachagua.
Lakini Eldoret hakuna 'wasomali', kwa hiyo kutakuwa kuna sababu zaidi ya usomali wa huyo mhusika.
 
Mbona Wasomali hawana ugomvi na Nilotes labda ni ugomvi wa Biashara na Mkikuyu ambaye ni Mbantu.
Nazungumza ndani ya Somalia kwenyewe, hata huko nyumbani bongo(Tz) wasomali wapo na ni marafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…