Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.