Wabunge mashabiki wa Yanga wasema 'Hatuchezi' akitambulishwa Hersi Bungeni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Your browser is not able to display this video.
 
Dunian kuna wababa wa maana kabisa..
 
sio mbunge ni wabunge wengi
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
28. Miso Misondo SC.
 

JF HOME OF GREAT THINKERS.

Active
controller
Diversity
BlackBold
Moderator
Wand
Bridger
Paw
 
Mtacheza tu
 
Linapokuja suala la ushabiki wa mpira hapa nchini. Hata maprofesa wenu na madokta hawana tofauti ya uchambuzi na madereva wa maguta. Tena hicho kitu huwaunganisha haswaa na prof utaona anachukua nondo kwa dereva wa guta🤣🤣🤣

Ndio hayo ya Utopolo bungeni
 
Uwe unaandika mambo ya maana hapa ni Home of Great Thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…