Wabunge mashabiki wa Yanga wasema 'Hatuchezi' akitambulishwa Hersi Bungeni

Uwe unaandika mambo ya maana hapa ni Home of Great Thinkers
Hayo majina yote yametoka na vituko vya timu yenu Simba SC, /4/2025 hamkuleta mbuzi uwanjani badala ya Wachezaji?
Haji Manara hakuwaita Makolokolo sababu ya jezi zenu kujaza makorokocho tele?
Hamkuitwa Mbumbumbu na Aden Rage?
Mashabiki wa Simba SC mnaanzaje kutuita Mashabiki wa Yanga SC "Watani" ilihali utani wenyewe hamuuwezi?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hao kweli bendera fuata upepo wanakurupuka tu eti ndo watunga sheria hawa!
 
Tuweke utani pembeni, hivi "Hatuchezi" inatofautiana nini na "No Reform, No Election"?

Mbona baadhi ya wanaosema hawachezi wanapinga msimamo wa CHADEMA? Kwa nini hatuoni muingiliano wa hizi kampeni mbili wakati zote zinaonekana kuwa na mvuto wa kipekee?
 
Miso Misondo SC
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…