Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

Nchi yetu ni ya wakulima na wafanyakazi,

Hao ndio wengi,

Nijibu wafanyabiashara wakubwa na matajiri, bungeni wanasimamia Maslahi ya nani?

Karibu ndugu comte
Kwa akili yako na dhana ya kuwa nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi - hili tabaka la matajiri umelitoa wapi? Unaongelea nchi hii au kule ulikotoka wewe na ndugu zako?
 
Walipa Kodi wakubwa Nchi hii ni akina nani?

Au backbone ya Uchumi wa Tanzania inategemea watu Gani?

Ni matajiri?
 
Wananchi tupambane kuhakikisha tunachagua viongozi watakaokwenda kutetea Maslahi ya wananchi wengi wa MAISHA ya chini,

Si Hawa wenye kwenda kutetea Maslahi ya matajiri na kujiongezea ukwasi.
Kabisa, maana tunakoenda economic imbalance inachukua nafasi yake
 
Ilikuwa enzi za ujamaa huko sasa hivi nchi ya wote wakulima,wafanyakazi , wafanyabiashara nk
Ndo nasemaje,

Wafanyabiashara matajiri, wanapata faida Gani bungeni ambako wanapata pesa kiduchu comparing to biashara zao?
 
Walipa Kodi wakubwa Nchi hii ni akina nani?

Au backbone ya Uchumi wa Tanzania inategemea watu Gani?

Ni matajiri?
unaongelea uchumi gani na huo uchumi unahusiana vipi na matajirri kwenda bungeni?
 
Wananchi tupambane kuhakikisha tunachagua viongozi watakaokwenda kutetea Maslahi ya wananchi wengi wa MAISHA ya chini,

Si Hawa wenye kwenda kutetea Maslahi ya matajiri na kujiongezea ukwasi.
Mtu wa chini anaenda kutetea nini?Wakati wenye pesa ni wawekezaji
Walipa kodi wakubwa TRA wafanyabiashara wakubwa .Ana mchango gani huyo mtu wa chini kwenye Kodi TRA ambayo ndio inaendesha nchi Wakijaa maskini watupu ndio wanakuja na sera za kijinga kama huko tulikotoka walijaa wa chini watupu waamua kuleta Azimio la Arusha wakataifisha viwanda vyote na mashirika binafsi makubwa ya biashara yote yakqfa
Watu wa chini wasijazane bungeni ni hatari kwa Uchumi wa nchi na TRA kwa maamuxi yao ya kijinga.

TRA iau maswala ya fedha kiyumba jua nyuma kuna maskini mtu wa chini huko serikalini au bungeni anashauri vibaya

Tufike mahali.kama nchi tuache kujaza maskini bungeni wawe chama tawala au upinzani tukatae kwa kweli.Waingizwe walipa kodi wakubwa.Mlipa kodi mkubwa huyo ndie mzalendo wa kweli anajenga nchi kwa kodi zake.Tuachane na hawa wapiga mayowe malofa ambao TRA hawaongizi kodi yeyoye wanataka tu marurupu yasiyo na kodi bungeni

Hata wabunge hawa waliopo uchaguzi unakuja waangaliwe kama wana biashara zingine zinaingiza kodi kiasi gani.Kama hawana au ndogo sana .Wasirudi bungeni vyama visiwapitishe ni hasara kwa taifa hao.Hawana uzalendo kupitia kodi Wana uzalendo wa kuchonga midomo tu.Midomo hailiwi.

Tufike mahali.kodi inayolipwa ndio iamue nani agombee
 
Ndo nasemaje,

Wafanyabiashara matajiri, wanapata faida Gani bungeni ambako wanapata pesa kiduchu comparing to biashara zao?
Uzalendo wa kutetea nchi yao na kusimamia matumizii ya kodi kubwa wanazolipa.Uzalendo ndio unawapeleka bungeni.

Ulitaka wao walipe kodi tu wasiwe sehemu ya kusimamia.Haiwezekani
Hao ndio wazalendo hasa
 
Uzalendo wa kutetea nchi yao na kusimamia matumizii ya kodi kubwa wanazolipa.Uzalendo ndio unawapeleka bungeni.

Ukitaka wao walipe kodi tu wasiwe sehemu ya kusimamia.Haiwezekani
Ndo natoa mfano kuwa,

Ni lini uliwasikia Musukuma au shabiby wakipeleka HOJA bungeni Ili nauli zipungue Ili kuleta nafuu Kwa wapiga kura wao jimboni?

HOJA hii hailengi ubaguzi, ni kuondoa conflict of interest.

Karibu.
 
sioni hiyo conflict of interest
 
Mbunge anayemiliki vituo vya mafuta, anawezaje kupeleka HOJA bungeni Ili Serikali upunguze Bei za mafuta ambazo zitaleta HASARA kwake?
Bei za mafuta zinapangwa ba Ewura serikali sio wabunge .

Biashara ya mafuta isikie tu ngumu sana

Mzigo ukinunua dolla mfano shilingi 2000 kwa dola moja ,Mzigo wako ukiisha ukitaka kuagiza mzigo mpya unakuta dola moja inauzwa Shs. 2,500 ina maana faida yote ya mzigo wa kwanza inaondoka na serikali inapopanga bei inakuwa haina ujanja hutakiwa ipandishe bei ya mafuta kabla wafanyabiashara kugoma kuagiza mafuta
Sasa kama mtu mbumbumbu asiyejua biashara kama wewe ukipewa ubunge utaleta hoja uchwara kuwa ohh mafuta yashushwe bila kujua kulikoni kwenye hiyo biashara kwa kutaka cheap politics za kupigiwa vigelegele na wajinga mitaani

Ndio maana lazima wafanyabiashara wawemo bungeni hata kodi zikipangwa wawe na mchango wa kitaalamu toka kwenye field na takwimu sio tu mbunge mjinga mjinga anaibuka tu na kuongea vitu anaota kichwani hana takwimu

Kama wewe unavyosema watetee mafuta yashuke kienyeji tu
 
Huoni kuwa hao matajiri, wafanya biashara wakijikita kuuza mafuta pekee, watapunguza HASARA ya kupoteza muda bungeni ambapo hawapati chochote zaidi ya HASARA?

Hiyo michango wanaweza Kutoa wakiwa Si wabunge, wakatoa huko kwenye ushiriki wao wa biashara.
 
Hakuna kitu wabubge wenyewe wa kuelewesha wapi? Akiulizwa swali la ziada technical atajibu nini? Ndio maana wanaenda wafanyabiashara wenyewe hata yatokee maswali ya ziada kuhusu sekta yake wanajibu tofauti na angeenda mbunge mbumbumbu

Na ujue wako beyond money hawaendi kule kama malofa kama wewe kufuata posho tu .Pesa wanazoingiza kwa siku ni mshahara wa mbunge wa miezi hata sita

Wapo pale kuhakikisha kunakuwa na wawakilishi wa business industry pia.Ambazo hao wengine wafuata posho tu uelewa wao uko limited kuanzia biashara yenyewe mifumo ya hizo biashara na uendeshaji maswala ya kodi zake nk wanakuwa weupe vichwani
 
Ikiwa wabunge wafanyabiashara na matajiri wanasimamia Maslahi ya wananchi,

Iweje hao wafanyabiashara hawahakikishi mafuta yanapunguza Bei?
 
Ahsante Mnyika Kwa kuliona hili,

Tukiruhusu mgombea ajigharamie gharama za uchaguzi,

Mwalimu au bodaboda, akiutaka ubunge,

Atapenyaje?
 
Toka mwanzo wa kuundwa kwa mabunge duniani ubunge ulikuwa ni kazi ya matajiri. Sasa ni wenye kazi yao wanaichukua.
 
Nchi zilizoendelea,

Mbunge tajiri anataka Mali zake, na anakabidhi Mali Kwa kampuni na Kodi zote zinalipwa ndipo anaenda bungeni,

Na Kwa kipindi chote awapo bungeni hamtafuti manufaa binafsi, Bali wa umma uliomtuma awatetee.

Kwetu huku, Musukuma au Zungu, biashara zao wamemkabidh nani?
 
Connection za kukwepa kodi Kwa kujuana na vigogo. Rostam aliliweka sawa though
 
Nchi zilizoendelea,

Mbunge tajiri anataka Mali zake, na anakabidhi Mali Kwa kampuni na Kodi zote zinalipwa ndipo anaenda bungeni,

Na Kwa kipindi chote awapo bungeni hamtafuti manufaa binafsi, Bali wa umma uliomtuma awatetee.

Kwetu huku, Musukuma au Zungu, biashara zao wamemkabidh nani?
Fuatiliq jinsi maseneta wa Marekani walivyo matajiri na wanavyofaidika na inside trading wakiwa bado wabunge.
 
Back
Top Bottom