Kwa akili yako na dhana ya kuwa nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi - hili tabaka la matajiri umelitoa wapi? Unaongelea nchi hii au kule ulikotoka wewe na ndugu zako?Nchi yetu ni ya wakulima na wafanyakazi,
Hao ndio wengi,
Nijibu wafanyabiashara wakubwa na matajiri, bungeni wanasimamia Maslahi ya nani?
Karibu ndugu comte
Walipa Kodi wakubwa Nchi hii ni akina nani?Kwa akili yako na dhana ya kuwa nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi - hili tabaka la matajiri umelitoa wapi? Unaongelea nchi hii au kule ulikotoka wewe na ndugu zako?
Kabisa, maana tunakoenda economic imbalance inachukua nafasi yakeWananchi tupambane kuhakikisha tunachagua viongozi watakaokwenda kutetea Maslahi ya wananchi wengi wa MAISHA ya chini,
Si Hawa wenye kwenda kutetea Maslahi ya matajiri na kujiongezea ukwasi.
Ilikuwa enzi za ujamaa huko sasa hivi nchi ya wote wakulima,wafanyakazi , wafanyabiashara nkNchi yetu ni ya wakulima na wafanyakazi,
Tukitajirika, tutajirike pamoja.
Ndo nasemaje,Ilikuwa enzi za ujamaa huko sasa hivi nchi ya wote wakulima,wafanyakazi , wafanyabiashara nk
unaongelea uchumi gani na huo uchumi unahusiana vipi na matajirri kwenda bungeni?Walipa Kodi wakubwa Nchi hii ni akina nani?
Au backbone ya Uchumi wa Tanzania inategemea watu Gani?
Ni matajiri?
Mtu wa chini anaenda kutetea nini?Wakati wenye pesa ni wawekezajiWananchi tupambane kuhakikisha tunachagua viongozi watakaokwenda kutetea Maslahi ya wananchi wengi wa MAISHA ya chini,
Si Hawa wenye kwenda kutetea Maslahi ya matajiri na kujiongezea ukwasi.
Uzalendo wa kutetea nchi yao na kusimamia matumizii ya kodi kubwa wanazolipa.Uzalendo ndio unawapeleka bungeni.Ndo nasemaje,
Wafanyabiashara matajiri, wanapata faida Gani bungeni ambako wanapata pesa kiduchu comparing to biashara zao?
Ndo natoa mfano kuwa,Uzalendo wa kutetea nchi yao na kusimamia matumizii ya kodi kubwa wanazolipa.Uzalendo ndio unawapeleka bungeni.
Ukitaka wao walipe kodi tu wasiwe sehemu ya kusimamia.Haiwezekani
sioni hiyo conflict of interestNdo natoa mfano kuwa,
Ni lini uliwasikia Musukuma au shabiby wakipeleka HOJA bungeni Ili nauli zipungue Ili kuleta nafuu Kwa wapiga kura wao jimboni?
HOJA hii hailengi ubaguzi, ni kuondoa conflict of interest.
Karibu.
Mbunge anayemiliki vituo vya mafuta, anawezaje kupeleka HOJA bungeni Ili Serikali upunguze Bei za mafuta ambazo zitaleta HASARA kwake?sioni hiyo conflict of interest
Bei za mafuta zinapangwa ba Ewura serikali sio wabunge .Mbunge anayemiliki vituo vya mafuta, anawezaje kupeleka HOJA bungeni Ili Serikali upunguze Bei za mafuta ambazo zitaleta HASARA kwake?
Huoni kuwa hao matajiri, wafanya biashara wakijikita kuuza mafuta pekee, watapunguza HASARA ya kupoteza muda bungeni ambapo hawapati chochote zaidi ya HASARA?Bei za mafuta zinapangwa ba Ewura serikali sio wabunge .
Biashara ya mafuta isikie tu ngumu sana
Mzigo ukinunua dolla mfano shilingi 2000 kwa dola moja ,Mzigo wako ukiisha ukitaka kuagiza mzigo mpya unakuta dola moja inauzwa Shs. 2,500 ina maana faida yote ya mzigo wa kwanza inaondoka na serikali inapopanga bei inakuwa haina ujanja hutakiwa ipandishe bei ya mafuta kabla wafanyabiashara kugoma kuagiza mafuta
Sasa kama mtu mbumbumbu asiyejua biashara kama wewe ukipewa ubunge utaleta hoja uchwara kuwa ohh mafuta yashushwe bila kujua kulikoni kwenye hiyo biashara kwa kutaka cheap politics za kupigiwa vigelegele na wajinga mitaani
Ndio maana lazima wafanyabiashara wawemo bungeni hata kodi zikipangwa wawe na mchango wa kitaalamu toka kwenye field na takwimu sio tu mbunge mjinga mjinga anaibuka tu na kuongea vitu anaota kichwani hana takwimu
Kama wewe unavyosema watetee mafuta yashuke kienyeji tu
Hakuna kitu wabubge wenyewe wa kuelewesha wapi? Akiulizwa swali la ziada technical atajibu nini? Ndio maana wanaenda wafanyabiashara wenyewe hata yatokee maswali ya ziada kuhusu sekta yake wanajibu tofauti na angeenda mbunge mbumbumbuHuoni kuwa hao matajiri, wafanya biashara wakijikita kuuza mafuta pekee, watapunguza HASARA ya kupoteza muda bungeni ambapo hawapati chochote zaidi ya HASARA?
Hiyo michango wanaweza Kutoa wakiwa Si wabunge, wakatoa huko kwenye ushiriki wao wa biashara.
Ndo nasemaje,Hakuna kitu wabubge wenyewe wa kuelewesha wapi? Akiulizwa swali la ziada technical atajibu nini? Ndio maana wanaenda wafanyabiashara wenyewe hata yatokee maswali ya ziada kuhusu sekta yake wanajibu tofauti na angeenda mbunge mbumbumbu
Na ujue wako beyond money hawaendi kule kama malofa kama wewe kufuata posho tu .Pesa wanazoingiza kwa siku ni mshahara wa mbunge wa miezi hata sita
Wapo pale kuhakikisha kunakuwa na wawakilishi wa business industry pia.Ambazo hao wengine wafuata posho tu uelewa wao uko limited kuanzia biashara yenyewe mifumo ya hizo biashara na uendeshaji maswala ya kodi zake nk wanakuwa weupe vichwani
Nchi zilizoendelea,Toka mwanzo wa kuundwa kwa mabunge duniani ubunge ulikuwa ni kazi ya matajiri. Sasa ni wenye kazi yao wanaichukua.
Fuatiliq jinsi maseneta wa Marekani walivyo matajiri na wanavyofaidika na inside trading wakiwa bado wabunge.Nchi zilizoendelea,
Mbunge tajiri anataka Mali zake, na anakabidhi Mali Kwa kampuni na Kodi zote zinalipwa ndipo anaenda bungeni,
Na Kwa kipindi chote awapo bungeni hamtafuti manufaa binafsi, Bali wa umma uliomtuma awatetee.
Kwetu huku, Musukuma au Zungu, biashara zao wamemkabidh nani?