Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.

Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja na kuwafikisha mahakamani.

Wanapofanya wasanii hivyohivyo, Je kama ni jinai kwanini inachagua makundi ya kuchukuliwa hatua?

Wanawake wanaochipukia na kujiimarisha kwenye jamii wamekuwa wahanga pia katika ukatili huu wa kidhalilishaji.

Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?
Binadamu hawakatazwi kufanya Ngono ila hiyo Ngono ikifanyika bila Staha na Wahusika kutokuwa na Maadili na Kujiheshimu ni Ujinga uliokomaa.
 
Matiko ni malaya. Alijitongozesha kwa prof mzee pale UDSM akamuoa na akamtafutia kazi pale UD kama assistant lecturer. Matiko alivyopata Ubunge akamtema prof babu wa watu na kwenda kwa yule somebody Mwalimu .Ila hii ya connection nayo inashangaza endapo ni kweli. !
Aseeeeh hatareeeh sanaah
 
Sijui kama ni umalaya au basi tu! Women power is on how many times have you remarried! Kwa ujumla ni udhifu wa 'thinking' kwa wote wawili maana tusimshambulie Matiko tu. Huyo partner wake zinamtosha? Ndo uone walioko kwenye politics ni watu wa aina gani. Hakuna wanachofanya kwa umakini. Ku-sex siyo vibaya lakini kwa mtu mwenye akili nzuri, umakini unahitajika.
Na tusiseme ni uongo, mbona wamei block twitter?
 
Kama ni zile za 'porn master' a.k.a 'mzee wa upakwa' bado alikuwa sio mbunge. Alikuwa anatafuna kondoo zake.
 
Ilishasemwa na rais mstaafu kuw kuna chama cha siasa ni wataalamu wa uongo na wana kiwanda cha kufyatua uongo! Mleta mada na wenzake wananielewa!
 
Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.

Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja na kuwafikisha mahakamani.

Wanapofanya wasanii hivyohivyo, Je kama ni jinai kwanini inachagua makundi ya kuchukuliwa hatua?

Wanawake wanaochipukia na kujiimarisha kwenye jamii wamekuwa wahanga pia katika ukatili huu wa kidhalilishaji.

Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?
Hiyo video umeiona ????
Una uthibitisho

Ova
 
Back
Top Bottom