Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Aeshi ana bonge ya mke, chotara fulani hivi ila bado anahangaika na manung'ayembe!!! So sad.

Makonda alikuwa sahihi kumpiga stop kukanyaga Dar huyu mzinzi!
Mkuu hakuna mkate mgumu mbele ya chai,maana hata yule mtukufu wa America ya ziwa Mgharibi anavyo hangaika na vyuma vyeupeeee
 
Kuna wabunge ambayo wamewatengenezea video ya ngono sasa wanataka kuwalipua!!!! Hizi video za kuumba kama hatutakuwa makini watu wengi wataumizwa!!!
Hata kama ni za kuumba au kubumba vyote sawa maana hawana faida kwetu sisi.

Umakini wao ulikuwa unaonekana wakiwa bado wapo cdm maana kule ethics za kiuongozi zipo na zinazingatiwa sana .

Huko walipo hamia ndiyo uwanja wa mazoezi ya kuivunja amri ya sita.
 
Nafikili lipo jambo hua linatokea, haiwezekani from no where mtu na akili timam apige video za faragha na kuzipublic, dunia ina Mambo Sana hii do not trust any one in this world,may be only your parents,your heart,Jesus christ
 
Kule Jamhuri ya Twitter kuna habari ya Esta Matiko kideo kimevuja
THREAD yako inaleta maswali sana

Kwanini uulize kwa mbunge peke ake?

Au wewe ni mbunge uliefanya huo msala? Uko unataka kujua hatima yako?

Au Kuna video huko ya mbunge umeshaipata? Unauliza kabla hujamlipua?

Au unamzungumzia Mbunge Rashid?
 
Naona ni porojo za kuchafuana tu hakuna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…