Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jidanganye mkuu....kuna Yule bwana mdogo pale wilaya ya bukoba mjini somebody Steven byabato ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Jidanganye mkuu....kuna Yule bwana mdogo pale wilaya ya bukoba mjini somebody Steven byabato ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
mie sijidanganyi na wala sina haja kumdanganya mtu yeyote wa watu katika masuala ya kitaalamu katika siasa, nachoweza sema ndio ukweli wenyewe tu ๐Ÿ’

uliemtaja
alikata tamaa mwanzoni kwamba haitawezekana kutetea kiti chake, but comeback yake kwenye public domain and heart pale jimboni pake ni very vibrant na very powerful, akiendelea kama anavyokwenda sasa anaweza kufanikiwa kutetea kiti chake vizur tu ๐Ÿ’
 
Mtu anajua kwamba alipita kwa bao la mkono then badala atumie nafasi hiyo kwenda kufanya kweli ili ashawishi watu anaowawakilisha yeye anaenda kuongea utumbo na kugongagonga dawati
 
Hakuna kitu najua kabisa Na wajumbe wake wa kashai Na buyekera
 
Hawakuupata kwa nguvu ya Magufuli bali kwa wizi wa kura uliosimamiwa na Magufuli na samia
 
alipewa kazi serikalini akashindwa Lakini ๐Ÿ’
Sidhani kama alishindwa. Pia ubunge na uteuzi bila shaka kuna tofauti hapo. Huyu Mgumba baada ya kufanyiwa figisu jimboni ndio wakampa ukuu wa mkoa. Pengine kazi za kiteuzi nazo zina figisu zake.
 
Sidhani kama alishindwa. Pia ubunge na uteuzi bila shaka kuna tofauti hapo. Huyu Mgumba baada ya kufanyiwa figisu jimboni ndio wakampa ukuu wa mkoa. Pengine kazi za kiteuzi nazo zina figisu zake.
then he is not qualified to be a leader, ccm siku zote inawapa nafasi watu makini na wenye uwezo, tutaona itakuaje
 
Babu Tale au? Hivi uko serious kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ