Pre GE2025 Wabunge mliopata ubunge kwa nguvu ya Hayati Magufuli tafuteni kazi nyingine mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
inaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....

for ur informatio ns,
uliowataja watarejea mjengoni bila tashwishwi yoyote na kwa uhakika zaid kuliko mbunge mwingine yeyote,

unless utumie chuki binafsi kuonyesha mapungufu yao mtandaoni ambayo pia hayatadhoofisha wa kufifisha nguvu za kisiasa walizonazo kutokana na kazi kubwa walizofanya majimboni mwao kwa wanainchi wanao wawakilisha....

ni kuhakikishie tu,
majimboni mwao, hawa waungwana ni miongoni mwa very influencial and very powerful politicians dhidi ya yeyote yule atakaejitokeza kuwapa changamoto kwenye uchaguzi wowote ujao, na ni vigumu mno kuwashinda 🐒
Jidanganye mkuu....kuna Yule bwana mdogo pale wilaya ya bukoba mjini somebody Steven byabato 😀😀😀
 
mie sijidanganyi na wala sina haja kumdanganya mtu yeyote wa watu katika masuala ya kitaalamu katika siasa, nachoweza sema ndio ukweli wenyewe tu 🐒

uliemtaja
alikata tamaa mwanzoni kwamba haitawezekana kutetea kiti chake, but comeback yake kwenye public domain and heart pale jimboni pake ni very vibrant na very powerful, akiendelea kama anavyokwenda sasa anaweza kufanikiwa kutetea kiti chake vizur tu 🐒
 
Mtu anajua kwamba alipita kwa bao la mkono then badala atumie nafasi hiyo kwenda kufanya kweli ili ashawishi watu anaowawakilisha yeye anaenda kuongea utumbo na kugongagonga dawati
 
mie sijidanganyi na wala sina haja kumdanganya mtu yeyote wa watu katika masuala ya kitaalamu katika siasa, nachoweza sema ndio ukweli wenyewe tu 🐒

uliemtaja
alikata tamaa mwanzoni kwamba haitawezekana kutetea kiti chake, but comeback yake kwenye public domain and heart pale jimboni pake ni very vibrant na very powerful, akiendelea kama anavyokwenda sasa anaweza kufanikiwa kutetea kiti chake vizur tu 🐒
Hakuna kitu najua kabisa Na wajumbe wake wa kashai Na buyekera
 
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye uwezo mdogo wa kutengeneza hoja ninawashauri tu watafute kazi nyingine za kufanya kwa sababu 2025 ni pagumu sana watakaopita watakuwa ni wachache sana au wasipite kabisa.
Hawakuupata kwa nguvu ya Magufuli bali kwa wizi wa kura uliosimamiwa na Magufuli na samia
 
alipewa kazi serikalini akashindwa Lakini 🐒
Sidhani kama alishindwa. Pia ubunge na uteuzi bila shaka kuna tofauti hapo. Huyu Mgumba baada ya kufanyiwa figisu jimboni ndio wakampa ukuu wa mkoa. Pengine kazi za kiteuzi nazo zina figisu zake.
 
then he is not qualified to be a leader, ccm siku zote inawapa nafasi watu makini na wenye uwezo, tutaona itakuaje :BASED:
 
inaweza kua kwa wabunge wengineo lakini sio kwa uliowataja....

for ur informations,
uliowataja watarejea mjengoni bila tashwishwi yoyote na kwa uhakika zaid kuliko mbunge mwingine yeyote,

unless utumie chuki binafsi kuonyesha mapungufu yao mtandaoni ambayo pia hayatadhoofisha wa kufifisha nguvu za kisiasa walizonazo kutokana na kazi kubwa walizofanya majimboni mwao kwa wanainchi wanao wawakilisha....

ni kuhakikishie tu,
majimboni mwao, hawa waungwana ni miongoni mwa very influencial and very powerful politicians dhidi ya yeyote yule atakaejitokeza kuwapa changamoto kwenye uchaguzi wowote ujao, na ni vigumu mno kuwashinda 🐒
Babu Tale au? Hivi uko serious kweli?
 
Back
Top Bottom