GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau.
Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha Kwetu Werevu (Mashabiki wa Simba SC) kama walivyofanya huku Wakisapotiwa na Wabunge Mashabiki wa Yanga SC.
Leo Mtendaji (Mwenyekiti) wa Bunge alimtambulisha Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kama Msemaji wa Yanga SC wakati mpaka sasa Yanga SC haina Msemaji na wala Haji Manara siyo Msemaji wake (wao) na hata GSM hawajamuajiri kwa hiyo Nafasi.
Hivi nyie Wabunge wa Yanga SC mliokuwa mkimshangilia Haji Manara Bungeni alipotambulishwa na huyo Mwenyekiti (Mtendaji) wa Bunge mna uhakika kuwa Haji Manara ndiyo Msemaji wa Yanga SC? Angekuwa Msemaji wao Yanga SC hivi sasa wangekuwa Wanahangaika kumtafuta Msemaji wao?
Hovyo kabisa nyie!