Wabunge na Madiwani 25%wa CCM kupita bila kupingwa?

Wabunge na Madiwani 25%wa CCM kupita bila kupingwa?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa

Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua form kwenye vyama vya CCM B

Halafu mnaambiwa uchaguzi utaghalimu 500 bilion +

CCM+ Kikwete+Samia ni 🦧🦧🦧
 
Back
Top Bottom