Subirini movie nyingine mtacheka Sana watia Nia wa kijani watapita bila kupingwa
Mtashangaa 25% ya watia nia wa ubunge na udiwani watapita bila kupingwa kwa sababu wameweka mamluki yao kuchukua form kwenye vyama vya CCM B
Halafu mnaambiwa uchaguzi utaghalimu 500 bilion +
CCM+ Kikwete+Samia ni 🦧🦧🦧