Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

Mibunge ya CCM iliyotunisha matumbo kama vyura kule bungeni na mimacho yao mkiubwa kama ya bundi ndiyo iliyosababisha U.SENGE huu usiovumilika kwa watumishi wa umma.
 
Wanasiasa wa Tz ni wabinafsi mno, wanajitungia sheria za kujipendelea wao tu ila raia wao wanawathamini nyakati za uchaguzi.
 
SIO KWA TANZANIA HII LABDA YA MWAKA 2100
 
Mibunge ya CCM iliyotunisha matumbo kama vyura kule bungeni na mimacho yao mkiubwa kama ya bundi ndiyo iliyosababisha U.SENGE huu usiovumilika kwa watumishi wa umma.
Safi! Umewapiga na kitu kizito!
 
Wao zao ndefu zinatoka kabla ya bunge kuvunjwa
 
Kila ukisikia Kwa mbali kuhusu kikokotoo huwezi kuelewa nimewasikia BAADHI ya WANASIASA wakielezea kuhusu kikokotoo nilikuwa sielewi mpaka Mwezi may 2023 nikiwa kwenye MSIBA wa Askari mmoja mwenye CHEO cha V mbili sijui mnawaitaje tuliambiwa baada ya kustaafu kazi Kwa heshima zote alitarajia kupata 40mil lakini alipo kwenda Bank alikutana na 17mil akapata mshtuko akakimbizwa Bugando na hakurudi tena mtoa taarifa anasema huyu ni Askari wa tano kufariki baada ya kupata taarifa mbaya ya kikokotoo kama ndivyo basi hii hoja inayopigiwa kelele na baadhi ya wanasiasa isipuuzwe badala ya kununua magoli na NDEGE tuokoe jahazi la hawa wafunga buti ndiyo maana wanashindwa kutenda haki wamekasirika muda wote ukipeleka malalamiko Kituo cha Polisi wanakueleza vitu visivyoeleweka.
 
Kuna mambo yanaumiza ukiyawaza, utaishia kuyawaza na hakuna kitu utafanya wala.....hii inaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…