Hilo wala siyo ajabu, ajabu ni miswada ya sheria inapelekwa bungeni ikiwa ya lugha ya Kingereza, hapo ndio kuna hoja ya msingi.Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga kura? Anakuwa ameelewa mgombea kaongea nini?
Only in Tanzania.Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga kura? Anakuwa ameelewa mgombea kaongea nini?
Hilo wala siyo ajabu, ajabu ni miswada ya sheria inapelekwa bungeni ikiwa ya lugha ya Kingereza, hapo ndio kuna hoja ya msingi.