Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona binti wa kike anasema hajaensa shule kisa kakosa pedi charaza mboko...muongo huyo anatafuta sababu..ss enzi zetu je wangekuwepo ingekuwaje? Na hakukua na mtu alobak domitory kisa anableedUmasikini uliotopea uliosababishwa na CCM ndio unakufanya umuone huyo Take anachekesha, afadhali yeye kaamua kuwasitiri hao watoto, wengine huwa wanashindwa kwenda shule huo wakati wao ukifika.
Hafu yupo serious ujue.. Mbilimbili.. 😂😂😂Bora huyo, kuna mmoja aligawa pipi kwa wagonjwa
Kitambo hakika...i hope mzimaBestyyyy duh!
Kitambo sana
Sasa je na wale wa way back 2000's walikua wanahandle vip situation? Mnadanganywa tu...vitoto vinanunua calorite anashindwaje pedj za 1500/2000 pm?Ni wangapi wana uwezo wa kuipata hiyo 1500?
Huduma hiyo ingekuwa ni sehemu ya mahitaji kwa mwanafunzi kama ilivyo chakulaUmasikini uliotopea uliosababishwa na CCM ndio unakufanya umuone huyo Take anachekesha, afadhali yeye kaamua kuwasitiri hao watoto, wengine huwa wanashindwa kwenda shule huo wakati wao ukifika.
hv unayajua maisha ya kijijini ndugu yangu? hiyo 1500 kila mwezi mzazi anaitoa wapi ya kumpa mtoto akanunue pedi? wasichana wa vijijini wanatumia vipande vya vitambaa tu, so kwa mtazamo wangu Tale amefanya jambo jema sana kwa hao mabinti hasa kwa kuwa ameahidi kitakuwa kitu endelevu kila baada ya miezi 6
Mapapai aliyosema yana korona[emoji23][emoji23] Kaka Tuchati in Roma's VoiceHiyo style anaiga kutoka Kwa Baba yake magu hakuna haja ya kushangaa Sana....Bora babu tale amegawa taulo kuliko magu aliyegawa mapapai
Hii nayo sumu, badala mjenge lab za kutosha mnagawa pedi😏😏😏😏😏😏😏😏Pole mkuu sumu imeingia vizuri
Watoto wanahitaji pedi au vifaa vya shule?
Ishu sio science..ishu ni kudanganywa na vitu cheap kama pedi...hilo tu...hakuna mwanafunzinanayejielewa eti akawa mp akakosa vitendea kazi akadoji shule narudia hayupo...kuna kanga na mavitenge unatumia siku imepita...yaan mbunge anatoka huko anakuna wapa vipedi mnafurahii..nyambafu si bora agawe madawati bas😏😏Nakubaliana na wewe mkuu lakini ukweli una uma, acha kukariri kufanikiwa ni kusoma science pekee, wana sayansi wangapi wamefanikiwa/matajiri hapa nchini ukiwemo wewe?
Kaziacha Shuleni?it is something though.....ila zitaisha mara moja,labda aweke utaratibu wawe wanapata continuously
Unafurahia mwanao apewe zawad ya pedi badala apewe walau kitabu? Mm hizo pedi naamini hazina umuhim..umewah ona mwanafunzi anakuambia sikufanya mtihan wa form 2 au4 kisa nilikosa ped?? Hakunaga excuses za namna hiyo..kamamzaz anaweza aford hela ya dawati sijui 50000 anashindwaje kumpa mwanaye 2000 kila mwez anunue pedi? Yaan ni vile sina binti..ila asingeniletea upuuz huo,think twice...Mkuu huu ukatili wako utakuwa wa kanda maalamu siyo bure