Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

Binadamu hawana jema kabisa...akifanya maneno, asipofanya maneno...ilimradi Lawama tu
 
Hivi umasikini utaisha lini Tanzania na kila mpiga kura ni masikini na kibatizwa myonge. Hi Tabia naisikitikia sana Tengeneza Tatizo tatua tatizo ili uinekane wa maana.
 
Lazima ushangae hawa Wabunge wetu tuna kazi kubwa. Waige mfano kwa wabunge waliopita wa Chadema ambao walikuwa wanagawa nyumba, magari, matrekta na pesa za mitaji kwa wapiga kura wao.

Chadema OYEEEEEE.
 
Hizo Taulo mabeberu hawakufanya yao?angewanunulia vitenge vya KARIBU textile au batik za kwetu
Ingekuwa uzalendo
 
Mleta mada kwanini haumpendi babu tale?
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
 
Babu Taletale ana IQ ya kisoda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…