Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI

1. Harrison Mwakyembe – Kyela
2. Angela Kairuki – Same Magharibi
3. Maulid Mtulia – Kinondoni
4. Abdalah Mtolea – Temeke
5. Omary Badwel – Bahi
6. Juma Nkamia – Chemba
7. Goodluck Mlinga – Ulanga
8. Omary Mgumba – Morogoro Kusini Mashariki
9. Cecil Mwambe – Ndanda
10. Katani Ahmad – Tandahimba
11. Jerome Bwanausi – Lulindi
12. Rashid Chuachua – Masasi
13. Dua Nkurua – Nanyumbu
14. Zubery Kuchauka – Liwale
15. Willy Qambalo – Karatu
16. Julius Kalanga – Monduli
17. Mary Nagu – Hanang
18. Jituson Singh – Babati Vijijini
19. Pauline Gekul – Babati mjini
20. James Ole Millya – Simanjiro
21. Jumanne Maghembe – Mwanga
22. Ramo Makani – Tunduru Kaskazini
23. Mboni Mhita – Handeni Mjini
24. Victor Mwambalaswa – Lupa
25. Janeth Mbene- Ileje
26. David Silinde – Momba
27. Richard Mbogo – Nsimbo
28. Justine Monko – Singida Kaskazini
29. Daniel Mtuka – Manyoni Mashariki
30. Allan Kiula - Mkalama
31. Gerson Lwenge – Wanging’ombe
32. Deo Ngalawa- Ludewa
33. Norman Sigalla – Makete
34. Charles Kitwanga – Misungwi
35. William Ngeleja – Sengerema
36. Ezekiel Maige – Msalala
37. Albert Obama - Manyovu
38. Daniel Nsanzugwako- Kasulu Mjini
39. Alex Gashaza – Ngara
40. Mkasa Oscar - Biharamulo
41. Deodorus Kamala – Nkenge
42. Peter Kafumu - Igunga
43. Peter Lijualikali - Kilombero
44. Leonsia Bukwimba - Busanda.
45.Edwin Sanda - Kondoa Mjini.
46. Joram Hongoli - Lupembe
47. Mbaraka Dau - Mafia.
48. Ally Ugando - Kibiti
49. Agustino Masele -- Mbongwe
50. Shukuru Kawambwa - Bagamoyo
51. Godfrey Mgimwa - Kalenga
52. Venance Mwamoto - Kilolo
53. George malima Lubeleje - Mpwapwa
 
Safi Sana Kubalini Matokeo, Ebu Karibuni Mtaani Maisha Yaendelee...Kumbukeni Wakuu wa Mikoa na Wilaya Plus MaDAS Tayari wapo so karibu Kitaa Myazoehe Maisha ya Kutokuwa na Uhakika...
 
Nyingi ya Sura Ninazoziona Hapo ni wanasiasa MAARUFU Sana MAENEO YAO.....

Nionacho ni kuwa HUU utaratibu alioshauri mh.Mwenyekiti wa KUJUMUISHA na KUHESABU KURA HADHARANI ndio chanzo cha maanguko hayo...........

Pia WanaCCM wapiga KURA wamebadilika sana KIPINDI hiki cha AWAMU ya 5.
Wamekuwa Wakiendana na Kasi ya mwenyekiti wetu.

Tahadhari kwa Watakaoteuliwa na kushinda UBUNGE Ni kuwa UMEFIKA MUDA WABADILIKE na wawe Karibu na wapiga KURA wao majimboni,waache tabia ya KUPOTEA,KUTOONGEA KERO ZA MAJIMBO YAO bungeni,kuzurura kwa FAIDA ya BIASHARA zao binafsi,Umimi,KUENDEKEZA anasa,starehe na UJIVUNI.
 
Mimi kwa kweli natokea jimbo la mwakyembe, binafsi nimefurahi sana. Yaani Baba yetu huyu jamani dah. Ntafurahi akipumzika tupate changamoto nyingine.

Zaidi sana furaha yangu ipo kwa wale wasaliti wa chadema ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.....na maombi yangu sasa wapumzike kama walibip wamepigiwa sasa ha haaaaaaa lijualikali ha haa nassari ha ha ha na yule bro manywele wa momba akaenda tunduma.

Mbeya hatunaga unafki kabisa yaani...Na bado yajayo ni mengi yanafurahisha sana.
 
Pwani mko poa Kabisa, pia safi sana wana kigamboni kwa kura za kisela
Nalog off
 
Na waliopita wakishindwa hata 40 itakuwa vizuri.

Wapinzani kwenye majimbo kama la Ndugai wekeni watu wa maana tuwatoe miungu watu.

Wabunge inabidi wajali maslahi yetu na si ya vyama vyao. Na salamu ziwafikie watakaoshinda, watanzania waloishi na CCM tu watakuwa wamepungua sana na wanaoishi kwa hisani za vyama watakuwa hawana sauti tena.
 
Juma Nkamia nimemuonea huruma, pamoja na kumpambania mzee aongezewe madaraka lakini wajumbe wakampiga spana.
Anaendekeza usanii wa propaganda kuwa hali ni nzuri na jamaa aongezewe muda. Anasahau uhalisia mitaani hali ni mbaya.
 
Nyingi ya Sura Ninazoziona Hapo ni wanasiasa MAARUFU Sana MAENEO YAO.....

Nionacho ni kuwa HUU utaratibu alioshauri mh.Mwenyekiti wa KUJUMUISHA na KUHESABU KURA HADHARANI ndio chanzo cha maanguko hayo...........
Ninatamani pia Oktoba utaratibu uwe wa wazi kama huu kwa nafasi zote ili kuwakata wapinzani kidomo domo cha kusema wameibiwa kura
 
Ningeshangaa kama huyo no. 7 angepita tena.
Naona kama mmemsahau Eng.Chiza-Buyungu.
 
WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI

1. Harrison Mwakyembe – Kyela
2. Angela Kairuki – Same Magharibi
3. Maulid Mtulia – Kinondoni
4. Abdalah Mtolea – Temeke
5. Omary Badwel – Bahi
6. Juma Nkamia – Chemba
7. Goodluck Mlinga – Ulanga
8. Omary Mgumba – Morogoro Kusini Mashariki
9. Cecil Mwambe – Ndanda
10. Katani Ahmad – Tandahimba
11. Jerome Bwanausi – Lulindi
12. Rashid Chuachua – Masasi
13. Dua Nkurua – Nanyumbu
14. Zubery Kuchauka – Liwale
15. Willy Qambalo – Karatu
16. Julius Kalanga – Monduli
17. Mary Nagu – Hanang
18. Jituson Singh – Babati Vijijini
19. Pauline Gekul – Babati mjini
20. James Ole Millya – Simanjiro
21. Jumanne Maghembe – Mwanga
22. Ramo Makani – Tunduru Kaskazini
23. Mboni Mhita – Handeni Mjini
24. Victor Mwambalaswa – Lupa
25. Janeth Mbene- Ileje
26. David Silinde – Momba
27. Richard Mbogo – Nsimbo
28. Justine Monko – Singida Kaskazini
29. Daniel Mtuka – Manyoni Mashariki
30. Allan Kiula - Mkalama
31. Gerson Lwenge – Wanging’ombe
32. Deo Ngalawa- Ludewa
33. Norman Sigalla – Makete
34. Charles Kitwanga – Misungwi
35. William Ngeleja – Sengerema
36. Ezekiel Maige – Msalala
37. Albert Obama- Manyovu
38. Daniel Nsanzugwako- Kasulu Mjini
39. Alex Gashaza – Ngara
40. Mkasa Oscar Biharamulo
41. Deodorus Kamala – Nkenge
42. Peter Kafumu- Igunga
43. Peter Lijualikali - Kilombero
44. Leonsia Bukwimba - Busanda.
45.Edwin Sanda - Kondoa Mjini.
46. Joram Hongoli - Lupembe
47. Mbaraka Dau - Mafia.
48. Ally Ugando - Kibiti
59 . Agustino masele ---- mbongwe
 
Back
Top Bottom