Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

Nyingi ya Sura Ninazoziona Hapo ni wanasiasa MAARUFU Sana MAENEO YAO.....

Nionacho ni kuwa HUU utaratibu alioshauri mh.Mwenyekiti wa KUJUMUISHA na KUHESABU KURA HADHARANI ndio chanzo cha maanguko hayo...........

Pia WanaCCM wapiga KURA wamebadilika sana KIPINDI hiki cha AWAMU ya 5.
Wamekuwa Wakiendana na Kasi ya mwenyekiti wetu.

Tahadhari kwa Watakaoteuliwa na kushinda UBUNGE Ni kuwa UMEFIKA MUDA WABADILIKE na wawe Karibu na wapiga KURA wao majimboni,waache tabia ya KUPOTEA,KUTOONGEA KERO ZA MAJIMBO YAO bungeni,kuzurura kwa FAIDA ya BIASHARA zao binafsi,Umimi,KUENDEKEZA anasa,starehe na UJIVUNI.
Sikio la kufa halisikii dawa
 
Duh! Hadi Maige naye kala za uso, kweli Middle Income inakuja na mengi.

Ila jirani yake Seleman Zedi wa Bukene kapenyaje?

Ombi kwa Kamati kuu imfyeke kwa ustawi wa wana Bukene.
 
Yule jangili mkoani Shinyanga inaonekana amepita-huu ndiyo mtihani kwa CCM, ni matumaini yangu huko Dodoma ataangukia pua, vinginevyo CCM sitawaelewa.
 
William Mganga Ngeleja (35) pamoja na tambo za shekeli zake,bado kwa wajumbe wanaojitambua haikuwa sababu ya kutompa adhabu aliostahili ndani ya ukumbi wa COTC.kujinadi kwake ilikuwa kama kuendesha baiskeli ziwani.
 
Sijamuona mbunge wa Nkasi Kusini nasikia naye kaangukia pua. Hebu fuatilia mkuu.
Kweli bwana Mipata wamekula kichwa bila kumsahau mbunge wa kwela aliyemrithi mzindakaya anaitwa Malocha nae wamekula kichwa
 
Mboni mhita ni handeni vijijini,
Handeni mjini omary kigoda, naona naye kaangukia pua.
 
WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI

1. Harrison Mwakyembe – Kyela
2. Angela Kairuki – Same Magharibi
3. Maulid Mtulia – Kinondoni
4. Abdalah Mtolea – Temeke
5. Omary Badwel – Bahi
6. Juma Nkamia – Chemba
7. Goodluck Mlinga – Ulanga
8. Omary Mgumba – Morogoro Kusini Mashariki
9. Cecil Mwambe – Ndanda
10. Katani Ahmad – Tandahimba
11. Jerome Bwanausi – Lulindi
12. Rashid Chuachua – Masasi
13. Dua Nkurua – Nanyumbu
14. Zubery Kuchauka – Liwale
15. Willy Qambalo – Karatu
16. Julius Kalanga – Monduli
17. Mary Nagu – Hanang
18. Jituson Singh – Babati Vijijini
19. Pauline Gekul – Babati mjini
20. James Ole Millya – Simanjiro
21. Jumanne Maghembe – Mwanga
22. Ramo Makani – Tunduru Kaskazini
23. Mboni Mhita – Handeni Mjini
24. Victor Mwambalaswa – Lupa
25. Janeth Mbene- Ileje
26. David Silinde – Momba
27. Richard Mbogo – Nsimbo
28. Justine Monko – Singida Kaskazini
29. Daniel Mtuka – Manyoni Mashariki
30. Allan Kiula - Mkalama
31. Gerson Lwenge – Wanging’ombe
32. Deo Ngalawa- Ludewa
33. Norman Sigalla – Makete
34. Charles Kitwanga – Misungwi
35. William Ngeleja – Sengerema
36. Ezekiel Maige – Msalala
37. Albert Obama- Manyovu
38. Daniel Nsanzugwako- Kasulu Mjini
39. Alex Gashaza – Ngara
40. Mkasa Oscar Biharamulo
41. Deodorus Kamala – Nkenge
42. Peter Kafumu- Igunga
43. Peter Lijualikali - Kilombero
44. Leonsia Bukwimba - Busanda.
45.Edwin Sanda - Kondoa Mjini.
46. Joram Hongoli - Lupembe
47. Mbaraka Dau - Mafia.
48. Ally Ugando - Kibiti
Baadhi watarudishwa kwenye ubunge na Magufuli
 
Back
Top Bottom