Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

Peter Lijuakali, Julius kalanga, Cecil Mwambe nk hawa sio wabunge na hawajawhi kuwa wabunge wa ccm, Badili kauli
 
Umemsahau 49. George Lubeleje - Mpwapwa
WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI

1. Harrison Mwakyembe – Kyela
2. Angela Kairuki – Same Magharibi
3. Maulid Mtulia – Kinondoni
4. Abdalah Mtolea – Temeke
5. Omary Badwel – Bahi
6. Juma Nkamia – Chemba
7. Goodluck Mlinga – Ulanga
8. Omary Mgumba – Morogoro Kusini Mashariki
9. Cecil Mwambe – Ndanda
10. Katani Ahmad – Tandahimba
11. Jerome Bwanausi – Lulindi
12. Rashid Chuachua – Masasi
13. Dua Nkurua – Nanyumbu
14. Zubery Kuchauka – Liwale
15. Willy Qambalo – Karatu
16. Julius Kalanga – Monduli
17. Mary Nagu – Hanang
18. Jituson Singh – Babati Vijijini
19. Pauline Gekul – Babati mjini
20. James Ole Millya – Simanjiro
21. Jumanne Maghembe – Mwanga
22. Ramo Makani – Tunduru Kaskazini
23. Mboni Mhita – Handeni Mjini
24. Victor Mwambalaswa – Lupa
25. Janeth Mbene- Ileje
26. David Silinde – Momba
27. Richard Mbogo – Nsimbo
28. Justine Monko – Singida Kaskazini
29. Daniel Mtuka – Manyoni Mashariki
30. Allan Kiula - Mkalama
31. Gerson Lwenge – Wanging’ombe
32. Deo Ngalawa- Ludewa
33. Norman Sigalla – Makete
34. Charles Kitwanga – Misungwi
35. William Ngeleja – Sengerema
36. Ezekiel Maige – Msalala
37. Albert Obama- Manyovu
38. Daniel Nsanzugwako- Kasulu Mjini
39. Alex Gashaza – Ngara
40. Mkasa Oscar Biharamulo
41. Deodorus Kamala – Nkenge
42. Peter Kafumu- Igunga
43. Peter Lijualikali - Kilombero
44. Leonsia Bukwimba - Busanda.
45.Edwin Sanda - Kondoa Mjini.
46. Joram Hongoli - Lupembe
47. Mbaraka Dau - Mafia.
48. Ally Ugando - Kibiti
 
Wote walioangushwa ndo walilifanya bunge lililopita kuwa dhaifu,waliendekeza kusifia mtu badala ya kukerwa na shida za watz.
 
Yule jangili mkoani Shinyanga inaonekana amepita-huu ndiyo mtihani kwa CCM, ni matumaini yangu huko Dodoma ataangukia pua, vinginevyo CCM sitawaelewa.
Hii nayo inakera sana
 
Aisee
Muda muafaka wa kwenda kujiajiri na kupata first hand experience ya maazimio mbalimbali waliyokua wanayapitisha huko mjengoni.

Wakawekeze sasa kwenye viwanda, kilimo na ufugaji bila kusahau ktk teknolojia.

Ila wasihofu sana, mambo yakiwa tight wapeleke CV zao kwenye mojawapo ya maelfu ya viwanda walivyokuwa wanaambiwa vimeanzishwa na wao wanagonga meza huku wanachekaaaa.

Ombi kwa Mwenyekiti chonde, chonde wasipindue meza kila mtu avune alichopanda.
 
Juma Nkamia nimemuonea huruma, pamoja na kumpambania mzee aongezewe madaraka lakini wajumbe wakampiga spana.
Nkamia amepigwa na laana ya kujipendekeza kwa Jiwe eti aongezewe muda wa Urais kinyume na katiba!!
 
Omari Kigoda kapita huko Handeni??Kumbe nae kaangukia!!
 
Back
Top Bottom