Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

Tume itakubali?

Kwani tume ina masilahi gani na uchaguzi? Vyama ndiyo vinataka uwazi. CCM wameonyesha njia kwa kufanya kura za maoni kwa uwazi, tuendeleze hiyo maana kwa kiasi kikubwa n i kama wananchi nao wemependa
 
Peter Lijuakali, Julius kalanga, Cecil Mwambe nk hawa sio wabunge na hawajawhi kuwa wabunge wa ccm, Badili kauli
 
Umemsahau 49. George Lubeleje - Mpwapwa
 
Juma Nkamia nimemuonea huruma, pamoja na kumpambania mzee aongezewe madaraka lakini wajumbe wakampiga spana.
Hilo nalo linauma sana. Ila ni funzo kwa hawa walamba viatu
 
Wote walioangushwa ndo walilifanya bunge lililopita kuwa dhaifu,waliendekeza kusifia mtu badala ya kukerwa na shida za watz.
 
Yule jangili mkoani Shinyanga inaonekana amepita-huu ndiyo mtihani kwa CCM, ni matumaini yangu huko Dodoma ataangukia pua, vinginevyo CCM sitawaelewa.
Hii nayo inakera sana
 
Aisee
 
Juma Nkamia nimemuonea huruma, pamoja na kumpambania mzee aongezewe madaraka lakini wajumbe wakampiga spana.
Nkamia amepigwa na laana ya kujipendekeza kwa Jiwe eti aongezewe muda wa Urais kinyume na katiba!!
 
Omari Kigoda kapita huko Handeni??Kumbe nae kaangukia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…