Tetesi: Wabunge wa CCM Waanza Kutishiwa!

Mkuu siasa kuzunguka mikoani zimepigwa marufuku huyo Katibu mkuu na kina Mnyika utawasikia lini? Jamaa huyu kafanya makusudi kudumaza upinzani
 
Nape
Mwigulu
Makamba
Lukuvi
Bashe
Msukuma
Kitwanga

Yani nyie hata iweje 2020 hamuwezi kupenya kwenye chujio la baba nkwabi chini ya player maker bashite........anzeni kutafuta mashamba ya mananasi tu au tafuteni pakwenda unless mkubali kuishi kwa shida sana.
 
Ushauri mzuri sana, ila Nina wasiwasi kwamba wakitangaza , CCM watakuja na miswada ya ajabuajabu itakayopelekea kutungwa kwa sheria kandamizi ili kuzuia isiwezekane
 
Mkuu unazungumzia Intelligence gani watumie CDM isiyofahamika na sirikali/ccm? Naomba udadavue kidogo hapo mkuu
 
Mkuu ungejua mambo yalivyokuwa wala usingemlaumu Mbowe....ni ubinafsi uliingia kwa akina Safari, Mbowe alishaweka wazi atawasimamisha walewale Wa mwanzo yaani wenje na Masha....only....kuna mijitu ikaingilia mchakato,hao ndo vigogo kwamba waingizwe wengine, Mbowe akajitoa akasema Sawa maana ndo Demokrasia na alishajua nn kitatokea.
 
Huo mkakati wa kuchukua makapi ulishafeli kwa Lowassa.Watu wanachagua chama sio mtu
Endelea tu kujifariji meku
Makapi sio kina Kessy na Lusinde? Makapi siku zote ndiohubakia CCM wanaotoka ni Chuma Tupu! Ngano tupu, Lowassa Kingunge Masha Sumaye hao Ukilinganisha na aliyesema Kuku zilipe kodi au Kutekwa mchezo! Au Natamani kulia! Au Bashite aka, Bull Shit, nani Makapi?
 
Bashe, Kitwanga, Nape hao ni finito.

Cdm lazima ipige kura za maoni. Matokeo yaliyopita ni mavi yasiyonuka.
 
Punguza povu basiii,Msemaji wa chadema Mahanga nae kapi
 
Sasa haya yote watayafanyia wapi wakati siasa haziruhusiwi?
 
Kuna haja ya kumrudisha dkt Slaa kama mwenyekiti, yaliyopita sio ndwele.
Tatizo aliko huko kuna asali na Maziwa,Lakini Mbona Baba Bashite amesuswa Mazima na ccm,Kwani uchumi wa viwanda dalili zake ni hizi?
 
Bila tume huru ya uchaguzi upinzani kamwe hautaingia madarakani kwa miaka 30 ijayo
 
Magufuli asipouweka uchumi sawa,hali yake ngumu.Namshauri akazane na uchumi siasa katika zama hizi za utandawazi atobohi.Count my words
Magufuli hakushinda 2015 na anajua Hatashinda 2020 Ila anajua atakwapua urais hata akipata Kura Mbili. Kwa wanasayansi wa siasa hapa Nawapeni Indiketa ya Kilicho kishwani Kwa Magufuli kuhusiana na Uchaguzi wa 2020 na Ule wa 2015

2015, Alipomshikia Nape Bastola walikuwa na hofu ya Nape Kumwaga Ugali walivyopiga goli la Mkono 2015
2015 Walipozuia Bunge Live na Mikutano ni Wazi wanajua kuwa Wapinzani waliwashinda 2015 na ikatumika nguvu ya ziada kama kukataza watu kulinda kura na Kupora Komputer.
2020 Wanapozuia Lowassa asiongee kwenye Mkutano wowote ni wazi wanaogopa Kipigo alichowapa 2015 hata ikabidi wakwapue Urais kwa nguvu.
2020 Kitendo cha Magufuli Kutaka Jecha apewe tuzo ni Ushahidi tosha kuwa, Aliunga Mkono Ujambazi wa Jecha na kama unataka mtu apewe tuzo ni Kwa kuwa unataka Vitendo vyake vienziwe na Kuendelezwa! Jecha Ni Jambazi na Anayemuunga Mkono Jambazi ni Jambazi.

Kuna Mtu mmoja alishasema Majambazi yanyang'anywe silaha haraka haraka, Ni Maombi yangu siku moja ale maneno ya Kinywa chake kama Neno La Mungu Lisemavyo Kwenye Mithali, Utakula maneno ya Kinywa chako!
 
Bila tume huru ya uchaguzi upinzani kamwe hautaingia madarakani kwa miaka 30 ijayo
Na tume hiyo haitaletwa kwa hiyari ya CCM, Ndio Maana Nilisema CHADEMA wamkope Pesa Uhuru Kenyatta Kufanyia Operations 10 Billion zitatosha. Na hii ni jambo imefanyika sana Mandela aliomba pesa kwa Nyerere na Haile Selassie. Tom mboya aliomba hela Marekani na Ulaya! etc. Lazima wawe na Multifaceted operations some Clandestine!
 
Hili Lijamaa si alishasema ole wake mkurugenzi atayemtangaza mpinzani kuwa mbunge huku akijua analipwa mshahara na serikali ya ccm. Eh Mungu okoa Tz mikononi mwa sheitwani ccm
 
Wako kimya kwa sababu hawana pa kuongelea. Si unajua siasa zimepigwa stop kwa upande wa pili! Kwa kweli wapinzani wana busara kwani hili jambo kwa nchi zingine lingeleta vurugu kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…