Tetesi: Wabunge wa CCM Waanza Kutishiwa!

Ushauri wa fisi kwa mwenye meatshop. Hata watoto wa chekechea watazimia kwa kucheka.
 
Wako kimya kwa sababu hawana pa kuongelea. Si unajua siasa zimepigwa stop kwa upande wa pili! Kwa kweli wapinzani wana busara kwani hili jambo kwa nchi zingine lingeleta vurugu kubwa sana.
Asante Na ingekuwa Ni Mimi Mkuu wa Chama Kikubwa cha Upinzani Bila Kumumunya Maneno nasema Ningejitahidi Kumtafuta mtu niongee naye Nimwambie aache hizo! Hakiendelea Kuleta Madharau na Kugoma, Ananyanyuliwa Mtu! Just That Simple Freedom is Not Given in a golden plate, And once you have it in your hand it becomes as valuable as the soul of your first born, he who want to take it away from you must suffer the ultimate self defense messures and he has no one to blame but him!
Ningekuwa Mimi Ndio Mwenyekiti wa Chadema Naapa hilo lisingetokea nikiwa hai. Waovu wanaangalia how far the can push you! Watanyang'anya Komputer wataona Kimya, Watazuia Matangazo kimya, Wataleta Mbwa Bungeni Kimya, Wataua mwenzenu Kisha kuwaakataza Kumzika Kimya, Mwishoni wataona Okay We can get away with anything! Narudia tena Ningekuwa Mwenyekiti wa Chadema hii tabia Ningeikomesha in a hurry and they Could figure out how I did it after 100 years!
 
Wako kimya kwa sababu hawana pa kuongelea. Si unajua siasa zimepigwa stop kwa upande wa pili! Kwa kweli wapinzani wana busara kwani hili jambo kwa nchi zingine lingeleta vurugu kubwa sana.
Matamshi ya Lowasa ya jana wengi tunayaona kupitia social media, hoja za Zitto zinatufikia kupitia social media, vinavyojadiliwa bungeni tunavisikia kupitia social media... CHADEMA waamke aisee
 
Kuna Kisa Kimoja cha Mtu na Mume wake walikuwa wamemsingizia mtoto wa Mama mmoja Jirani kuwa ni mwizi youle mtoto akafungwa Jela. Kule Jela hakukaa muda mrefu alinyayasika sana, na akamsimulia Mama yake Kila Kilichotokea. Baada ya muda akafia jela. Yule mama kilimuuma sana, sana. Sasa Wale majirani wakorofi wakawa wanaendeleza chokochoko za Kila siku. Lakini siku moja Wanandoa hawa wakagombana Wenyewe kwa wenyewe! Mume akamchoma mke kisu kifuani lakini hakikuingia moyoni! Yule Mama kwa uchungu akakimbilia kwa yule Mama jirani walikuwa wakimkorofisha! Akamwambia Muke wangu kanichoma Kisu naomba Nisaidie Kupiga simu Polisi walete gari wanipeleke Hospitalini. Yule Jirani akamjibu, kwa kuwa Unaweza Kuongea naomba mimi Nikusaidie Kupiga 911 lakini wewe mwenyewe Utawasimulia Kilichotokea! Basi simu Ikapigwa na Kwa Kifupi aliyechomwa Kisu na mumewe akawasimulia Polisi Kisu kachomwa na Mumewe na Kachomwa Wapi, Na sasa yuko kwa Jirani anasubiri msaada.

Sasa Yule Mama Jirani, akakata simu, Akaingia Kitchen akachukua Kisu akamdunga Mama Jirani Palepale tundu la Kisu cha Mumewe Kilipopitia safari hii akahakikisha Kinaingia Ndani sana na kuupata moyo, na kumuua. Akaficha sana Kisu chake! Kisha aliposikia Ving'ora akajifanya kushikilia Jeraha kwa kitambaa kujifanya anatoa msaada! Polisi waliamini Kabisa Kuwa Mume wake ndio Muuaji, hivyo Mume akakamatwa na Kunyongwa!

Hii story inamaana Kuwa Its all about Timing na Ubaya Una malipo hapa Duniani. Cha kuchekesha Yule Mama Jirani alipewa hata nafasi ya Kutoa neno Kwenye Msiba akaeleza anavyowamisi Majirani zake na Jinsi ambavyo wameacha pengo lisilozibika! but all in all alikomesha ukorofi na Unyanyasaji wao!
 
Wengine wanajenga vioja badala hoja~kuna matumizi hasi ya ubongo!
 
Mkuu , shaka ondoa , Chadema iko tayari kushirikiana na mtu yeyote anayeweza kuchangia chochote kile katika kung'oa ccm
 


Acha kuwadanganya CHADEMA.Unadhani hao wachaga wote walopo ndani ya chama watapata wapi nafasi kama watazigawa ovyo kwa wakimbizi toka CCM ?
 
Wengine wanajenga vioja badala hoja~kuna matumizi hasi ya ubongo!
Peleka haya Maneno Kiwanda cha Khanga ila kwenye real life you are talking rubbish, mdahalo haujibiwi kwa ngonjera.
 
Hovyo kabisa! Huna hoja.


Ni maoni na mtazamo wake. Ni bora Chadema wakatafakari yale wanayoambiwa na wapinzani wao.
Unajua mpinzani wa Chadema ni ACT , CCM na TLP na sasa amekuja CUF- Lipumba.
Kwa hiyo Chadema wasikurupuke bila kutafakari hoja na shutuma za wapinzani wake. Suala la ukabila linatajwa sana ndani ya Chadema. Japo linaweza likatokana historia ya chama na waliokipigania na kukijenga chama. Hata hivyo kwa sasa chama hicho kimeshakua inabidi kujenge zaidi taswira ya umoja wa kitaifa.
 
Yangoswe!
 
Well said Mr kiujumla siasa za upnzani znatakiwa kuwa rafu na zakuhujumu plus vitisho kama vile ukuta......ikiwezekana hata kutokuzikana misibani akifa wa ccm waende ccm wenzao hiii kidogo itawatisha maana idadi inazungumza upnzan tuko wengi kuliko wao
 
Yap Inatakiwa Kupiga Mikwara panapohitajika Mikwara, Kuwakimu Kimaisha Mafundi wa Vile Vibombadia, kwani mtu akipewa elfu tano mara elf akapake viatu rangi ili afanye kazi yake "vizuri zaidi" Hiyo nayo ni hujuma? I wish ningekuwa Mbowe kwa mwezi mmoja tu! Ningewanyoosha watu na wanastahili ila Kama Kagame alivyosemaga wakati fulani, they will not see it comming!
 
Wewe unayemtambua Lipumba unasema? Huo Ushauri Mpe Magufuli, one asiendeleee Kumpakata Bullshit oh Bashite two Asiwe anakimbia Misiba na shughuli Muhimu kumwogopa Lowassa atashangiliwa Rais Rais Rais mbele zake! Yangu ni hayo tu kwa sasa!
 
Wewe unabeba mabox huko utajuaje ya TZ??
 
Wewe unayemtambua Lipumba unasema? Huo Ushauri Mpe Magufuli, one asiendeleee Kumpakata Bullshit oh Bashite two Asiwe anakimbia Misiba na shughuli Muhimu kumwogopa Lowassa atashangiliwa Rais Rais Rais mbele zake! Yangu ni hayo tu kwa sasa!


Lipumba ni Msanii sana. Hata akiongea ukimtizama machoni unaona kabisa nafsi inamsuta.
Lakini ndio hivyo atafanyaje wakati yeye mwenyewee hajuia anachofanya.

Hilo la Mkuu wa nchi tumwachie mwenyewe .
Kila mtu ana mkali wake.

Mwanamke anamwogopa mende. Lakini Mwanaume hamwogopi mende hapo hapo mwanaume anamwogopa mwanamke.
Mende hajui chochote.
Kila kiumbe kina mkali wake.
Hata wanasiasa kuna wanaoogopwa hata kwa kutaja jina tu ni tishio.
 
Kweli kabisa mkuu chama chochote cha siasa bila mikakati kabambe ya uhamasishaji umma ni mauti. Mapaka sasa si Chadema wala UKAWA kwa ujumla wake ambako utauona uhai wa kitengo cha uhamasishaji umma yaani Directorate of Mass Mobilization. Ukiuliza utaambiwa wamepigwa ban na serikali ya JPM lakini umma uliohamasishwa accordingly unaweza kufuta na kupindua ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…