Wakusini
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 805
- 609
Wewe wasemaCCM itabebwa na NEC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasemaCCM itabebwa na NEC
Ndiyo ukweliWewe wasema
Musa Sima hata kampeni anaogopa kufanyaMwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu .lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine. Na lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema
Ishi naoNdiyo ukweli
Hivi unaposema CCM hawatakubali Mawakala wa CHADEMA kuingia ndani ya Vituo vya kupgia kura unamaanisha nini!?Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu .lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine. Na lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema
Mtaishia hivyo hivyo miaka nenda rudi.Ndiyo ukweli
Sawa mkuuMtaishia hivyo hivyo miaka nenda rudi.
Akikujibu ni tagHivi unaposema CCM hawatakubali Mawakala wa CHADEMA kuingia ndani ya Vituo vya kupgia kura unamaanisha nini!?
MBONA WASANII WENGI?MBONA MALORI MENGI YAKISOMBA WATU?MBONA MNAPIGA MAGOTI KUOMBA KURA?MBONA MSAADA KWA NEC? MBONA POLISI? MBONA MAWE CHATO?Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Hapa hakuna lalamiko jipyaa, lakini kila uchaguzi ccm kidedea, hamchoki kulialiaa!!MBONA WASANII WENGI?MBONA MALORI MENGI YAKISOMBA WATU?MBONA MNAPIGA MAGOTI KUOMBA KURA?MBONA MSAADA KWA NEC? MBONA POLISI? MBONA MAWE CHATO?
....alisikika kasuku akikariri.Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Dua la kuku halijawahi kumpata mwewe, anaendelea tu mmtesa mama kuku!Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe, Agrey Mwanry, na wengineo walisombwa na mafuriko hayo ya Lowasa
Mwaka huu wabunge wengi wa CCM toka mkoa wa singida hawatarudi. Watasombwa na kimbunga cha Lissu. Kaka yangu Mwigulu alivyobanwa mwaka huu ameacha hadi kufanya kampeni kutwa anashinda ofisi ya msimaizi kupanga ni namna gani atatangazwa mshindi , si kawaida yake Mwigulu .amebanwa sana mwaka huu. lakini wabunge wa ccm wa mkoa wa singida karibu wote wanapumulia mashine.
Na Lissu ameamua kuushambulia mkoa huo si kawaida na wananchi wanamwelewa. Hakika CCM wakishindwa kubanana na mawakala wa chadema na wakawaruhusu kuingia ndani ccm itakuwa imefutika rasmii kwa baadhi ya maeneo. Lakini ninacho kijua Mimi maeneo yote ambayo ccm haikubaliki kama dar,mbeya,arusha kwanza, mkoa wa manyara hawatakubali mawakala wa chadema
Hali ipoje huko kiongoziSigida mjini safari hii CCM inapoteza mapema
Eti kushinda urais yaani kirahisi tu.hao wabunge tu mtihani,hilo nyomi linawafariji tu.kura kwa magufuli.Mwka huu cdm inaongeza iddi ya wabunge,ku retain majimbo yao na kushinda urais,mbeleko ya wizi mwaka huu imeshindikana
Tuwe na subiraNi ukweli ulio ' dhahiri ' ! Hilo hakuna anaepinga.