Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM wafuatao watasombwa na upepo wa kimbunga cha Lissu kama walivyosombwa na mafuriko baadhi ya wabunge wa Kaskazini mwaka 2015

Musa Sima hata kampeni anaogopa kufanya
 
Hivi unaposema CCM hawatakubali Mawakala wa CHADEMA kuingia ndani ya Vituo vya kupgia kura unamaanisha nini!?
 
MBONA WASANII WENGI?MBONA MALORI MENGI YAKISOMBA WATU?MBONA MNAPIGA MAGOTI KUOMBA KURA?MBONA MSAADA KWA NEC? MBONA POLISI? MBONA MAWE CHATO?
Hapa hakuna lalamiko jipyaa, lakini kila uchaguzi ccm kidedea, hamchoki kulialiaa!!
 
Baada ya SMG kushindwa kumuua Tundu Lissu CCM sasa wamepanga kutumia Sindano ya Sumu
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
....alisikika kasuku akikariri.

Kila mahali unapost huu huu ujumbe ambao ni mufilisi kwa mazingira ya sasa!
 
Dua la kuku halijawahi kumpata mwewe, anaendelea tu mmtesa mama kuku!
 
katika mwaka ambao upinzani wana mgombea urais angalau ni mwaka huu lakini wagombea ubunge wengi ni vimeo watashindwa vibaya sana mwaka huu. wengi walikuwa wameridhika kuwa CCM haipendwi na watanzania hivyo hakuna walichokifanya zaidi walikuwa wanasusia bunge kuitukana serikali kwenye social media wakisahu kuwa wana mkataba na wananchi. sasa mtu kama Lema, Halima Mdee, Kubenea, Msigwa, Heche na Sugu si wao ndo wanapumulia mashine kwa sasa! mtu pekee ambaye ni mpinzania angalau ni mpinzania atashinda bila shida ni Profesa tu wengine wote waliobaki wanapumulia mashine
 
Mwka huu cdm inaongeza iddi ya wabunge,ku retain majimbo yao na kushinda urais,mbeleko ya wizi mwaka huu imeshindikana
 
Mwka huu cdm inaongeza iddi ya wabunge,ku retain majimbo yao na kushinda urais,mbeleko ya wizi mwaka huu imeshindikana
Eti kushinda urais yaani kirahisi tu.hao wabunge tu mtihani,hilo nyomi linawafariji tu.kura kwa magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…