LAKINI CHA AJABUNA NYINYI CHADEMA MNAWAGOMBEA WENU MNAWASHANGILIA MAAJABUCHADEMA hatushiriki uchaguzi! No reforms no election! Ila wakisema tu tunashiriki CCM chali! Ndiyo maana CCM inataka ibaki peke yake!
LAKINI CHA AJABUNA NYINYI CHADEMA MNAWAGOMBEA WENU MNAWASHANGILIA MAAJABUCHADEMA hatushiriki uchaguzi! No reforms no election! Ila wakisema tu tunashiriki CCM chali! Ndiyo maana CCM inataka ibaki peke yake!
Herufi "m" na "n" zipo jirani mnoo.Kama haupo makini utaandika hivyo.NAMBA 26 JINAN HALIKO SAWA AISEE UNATWEZA UTU WA MTU
Siyo kitu cha ajabu hicho.Unaweza ukakuta wafuasi na wanachama CHADEMA na CCM wanaishi nyumba moja,chumba kimoja au ni ndugu kabisa.LAKINI CHA AJABUNA NYINYI CHADEMA MNAWAGOMBEA WENU MNAWASHANGILIA MAAJABU
Yeah, kwa vile sisi hatushiriki lazima tuwashangili. Yaani mtu amwangushe Msigwa halafu nisishangilie? Bulaya (kama siyo m..laya), Matiko, Hawa, Nusrat, Peneza wote hao waangushwe niache kushangilia? Nitakuwa sina akili!LAKINI CHA AJABUNA NYINYI CHADEMA MNAWAGOMBEA WENU MNAWASHANGILIA MAAJABU
Jah Pipo amejaa kwenye nyavu za pipoKatika Jimbom la Makambako, Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Daniel Chongolo ameibuka mshindi wa kishindo kwa kura 6,151, na kumwacha mbali Deo Sanga (maarufu kama Jah People), aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa miaka 15, ambaye alipata kura 470 tu sawa na asilimia 7.1.
Kuna chama chenye wenyeweDuh kweli maisha hayana mwenyewe, Yani Fadhili Ngajilo anamzidi Msigwa? Nina uhakika 100%, Msigwa agombee Chadema, Ngajilo angombee CCM, Msigwa anachukua ushindi
Dogo unahangaika sana. Au umeishiwa uzi wa cherehani?Lumumba sec school zanzibar mwaka 2023 Advance level. Exams no S. 0326/ 0592
Nachingwea sio Issa ni Amandus ChinguileWABUNGE WALIOSHINDWA
1. Deo Sanga - Makambako
2. Dr. Charles Kimei - Vunjo
3. Prof. Patrick Ndakidemi - Moshi Vijijini
4. Felister Njau - Moshi Vijijini
5. Ester Matiko - Tarime Mjini
6. Ester Bulaya - Bunda Mjini
7. Innocent Bilakatwe - Karagwe
8. Dr. Medard Kalemani - Chato
9. Mtenga - Mtwara Mjini
10. Cecilia Pareso - Karatu
11. Miraji Mtaturu - Ikungi Mashariki
12. Nustrat Hanje - Ikungi Mashariki
13. John Pallangyo - Arumeru Mashariki
14. Jesca Msambatavangu - Iringa Mjini
15. Dr. Amsabi Mrimi - Serengeti
16. Hawa Mwaifunga - Tabora Mjini
17. Issa Mtemvu - Kibamba
18. Issa Chinguile - Nachingwea
19. Hamida Abdallah - Lindi Mjini
20. Emmanuel Mwakasaka - Tabora Mjini
21. Eng. Stella Manyanya - Nyasa
22. Martin Msuha - Mbinga Vijijini
23. Joseph Kakunda - Sikonge
24. Asa Makanika - Kigoma Kaskazini
25. Constantine Kanyasu - Geita Mjini
26. Hanisi Kigwangala - Nzega Vijijini
27. Godfrey Pinda - Kavuu
Wajumbe wabaya ..Katika Jimbo la Iringa Mjini, aliyekuwa mbunge Jesca Msambatavangu amejikuta nafasi ya nne kwa kura 408. Mshindi wa kura hizo ni Fadhil Ngajilo aliyepata kura 1,899, akifuatiwa na Wakili Moses (1,523) na Mchungaji Peter Msigwa (477).
Kheri amekatwa ana upumbavu mwingi sanaNilishangaa kuona Hanisi Kigwangala hapo juu. Kumbe ni yeye!.
Wabunge wa jiweExactly! Mtemvu hakuna alivhofanya jimboni.